Muziki wa dansi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d fixing dead links
No edit summary
Mstari 1:
'''Muziki wa dansi''' (au '''dansi''' tu) ni [[muziki]] kutoka nchini [[Tanzania]]. Ulianzishwa katika [[mji]] wa [[Dar es Salaam]] kunako [[miaka ya [[1930]], na unapendeka leo hadi leo hii.

Muziki wa dansi unatokana na muziki wa [[soukous]] kutoka [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo|Kongo-Kinshasa]] (au "rumba ya kikongo") na tokea hapo ikawa inaitwa "rumba ya Tanzania" pia.

Kwa kawaida, [[neno|maneno]] ya [[nyimbo]] ya muziki wa dansi ni kwa [[lugha]] ya [[Kiswahili]]; tokea hapo awali na pia dansi huitwa "swahili jazz" kwa lugha ya [[Kiingereza]].
 
==Historia==
Line 41 ⟶ 45:
* Werner Graebner, [http://web.archive.org/19981206182403/members.aol.com/dpaterson/muziki.htm Muziki wa Dansi]
 
[[Category:Muziki yawa Tanzania]]
[[Category:Mitindo ya muziki]]