Hosea : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Hosea.jpg|thumb|200px|right|[[Picha]] ya nabii Hosea ya [[karne ya 18]], [[monasteri]] ya [[Kizhi]], [[Karelia]], [[Russia]].]]
'''Hosea''' (kwa [[Kiebrania]] ''הושע'', ''hoshè'a'', yaani "Wokovu") alikuwa [[nabii]] katika [[ufalme]] wa [[Israeli]] (Kaskazini) katika miaka [[750 KK|750]] - [[725 KK]] hivi.
 
'''Hosea''' (kwa [[Kiebrania]] ''הושע'', ''hoshè'a'', yaani "Wokovu") alikuwa [[nabii]] katika ufalme wa [[Israeli]] (Kaskazini) katika miaka [[750 KK]] - [[725 KK]].
 
Anaheshimiwa kama [[mtakatifu]]. [[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe [[17 Oktoba]].
 
==Maisha==
Muda mfupi baada ya [[Amosi]], nabii Hosea alianza kazi yake katika ufalme wa kaskazini pia, akaweza kuendelea nayo kwa muda mrefu akiwa [[mwenyeji.]]. Yeye hakufundisha kwa maneno tu, bali hasa kwa [[maisha]] yake: mtindo wa kufikirisha kwa matendo ya kushangaza ulitumiwa na manabii wengi, hata na [[Yesu]].
 
Aliitwa kuoa [[kahaba]] ili awaonyeshe Waisraeli katika matatizo ya [[ndoa]] yake jinsi [[Mungu]] alivyopenda [[taifa]] hilo ingawa linapenda kufuata [[miungu]] mingine badala ya kuwa aminifu kwake tu. Kwa mfano hai wa Hosea, Mungu alitaka waelewe kwamba kwa kuwapenda na pengine kuwaadhibu analenga tu hatimaye wampende kwa [[moyo]] wote.
Muda mfupi baada ya [[Amosi]], nabii Hosea alianza kazi yake katika ufalme wa kaskazini pia, akaweza kuendelea nayo kwa muda mrefu akiwa [[mwenyeji.]] Yeye hakufundisha kwa maneno tu, bali hasa kwa [[maisha]] yake: mtindo wa kufikirisha kwa matendo ya kushangaza ulitumiwa na manabii wengi, hata na Yesu.
 
[[Sura]] 1-3 za [[Kitabu cha Hosea]] zinasimulia alivyompenda [[mke]] wake aliyemzalia [[watoto]] wa [[uzinzi]], hata hivyo akaendelea kumpenda na kumtafuta hata baada ya kumfukuza, akamkomboa na kumrudisha ili ambembeleze zaidi na hatimaye amfanye amrudishie [[upendo]] kama wakati wa [[uchumba]]. Hivyo [[adhabu]] yenyewe ilitokana na upendo na kulenga [[umoja]] wa [[dhati]].
Aliitwa kuoa [[kahaba]] ili awaonyeshe Waisraeli katika matatizo ya [[ndoa]] yake jinsi [[Mungu]] alivyopenda [[taifa]] hilo ingawa linapenda kufuata miungu mingine badala ya kuwa aminifu kwake tu. Kwa mfano hai wa Hosea, Mungu alitaka waelewe kwamba kwa kuwapenda na pengine kuwaadhibu analenga tu hatimaye wampende kwa [[moyo]] wote.
 
Sura 1-3 za [[Kitabu cha Hosea]] zinasimulia alivyompenda mke wake aliyemzalia watoto wa [[uzinzi]], hata hivyo akaendelea kumpenda na kumtafuta hata baada ya kumfukuza, akamkomboa na kumrudisha ili ambembeleze zaidi na hatimaye amfanye amrudishie [[upendo]] kama wakati wa [[uchumba]]. Hivyo [[adhabu]] yenyewe ilitokana na upendo na kulenga [[umoja]] wa [[dhati]].
 
Hata Mungu, baada ya kuacha Israeli ishindwe na [[Waashuru]], ataendelea na upendo wake kwa wenzao wa kusini, akiwabakiza kama [[mbegu]] (ndio “mabaki ya Israeli” yaliyozungumziwa kwanza na Amosi): mpango wa [[Bwana]] unapitia [[hatua]] mbalimbali lakini haukatiki kamwe.
 
Mfano huo wa upendo wa Mungu kwa [[bibiarusi]] asiye mwaminifu uligusa sana watu ukazidi kuzingatiwa mpaka katika [[Agano Jipya]] na kuchangia [[uimara]] wa ndoa iliyofikiriwa upya kama upendo mwaminifu, si kama [[uhusiano]] wa [[sheria|kisheria]] au wa [[mwili|kimwili]] tu ambao udumu mpaka utakapoendelea kuleta [[faida]]. Zaidi ya hayo, uliwaelekeza Waisraeli kupokea [[fundisho]] la Yesu kwamba [[dini]] ni [[suala]] la upendo, si ibada wala [[sheria]] tu.
 
==Viungo vya nje==
Line 25 ⟶ 23:
[[Jamii:Manabii wa Agano la Kale]]
[[Jamii:Manabii katika Uislamu]]
 
[[ko:호세아 (구약성서)]]