Kitabu cha Yoeli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Joel (Michelangelo).jpg|right|thumb|Nabii Yoeli alivyochorwa na [[Michelangelo]] kwenye [[dari]] ya [[Kikanisa cha Sisto VIV]] ([[1508]]–[[1512]]).]]
'''Kitabu cha Yoeli''' ni kimojawapo kati ya [[vitabu]] 12 vya [[Manabii wadogo]] ambavyo, pamoja na vingine vingi, vinaunda [[Tanakh]].
 
Hivyo ni pia sehemu ya [[Agano la Kale]] katika [[Biblia ya Kikristo]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya [[maendeleo]] ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
== Muda wa uandishi ==