Mtaguso wa pili wa Vatikani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 48 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q169789 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Konzilseroeffnung 1.jpg|thumb|250px|Maandamano ya kuanzia kikao cha pili cha mtaguso.]]
Muda mfupi baada ya kuchaguliwa, [[Papa Yohane XXIII]] alitangaza uamuzi wake wa kuitisha [[Mtaguso Mkuu]] akiamini kwamba utaweza kuandaa na kusababisha ustawi mpya wa maisha ya [[Kanisa]].
'''Mtaguso wa pili wa Vatikani''' ni [[mtaguso mkuu]] wa pili kufanyika [[Vatikani]] ([[11 Oktoba]] [[1962]] - [[8 Desemba]] [[1965]]).
 
==Historia==
Lengo kuu la mtaguso lilikuwa kuliamsha [[Kanisa Katoliki]] likumbuke wito wake na kwa kujifanya upya kwa ndani lipate msukumo mpya wa kimisionari ili kuwatangazia watu wote ujumbe wa milele wa [[wokovu]], [[amani]] na [[umoja]].
Muda mfupi baada ya kuchaguliwa, [[Papa Yohane XXIII]] alitangaza uamuzi wake wa kuitisha [[Mtaguso Mkuu]] akiamini kwamba utaweza kuandaa na kusababisha [[ustawi]] mpya wa [[maisha]] ya [[Kanisa]].
 
[[Lengo]] kuu la [[mtaguso]] lilikuwa kuliamsha [[Kanisa Katoliki]] likumbuke [[wito]] wake na kwa kujifanya upya kwa ndani lipate msukumo mpya wa [[umisionari|kimisionari]] ili kuwatangazia watu wote [[ujumbe]] wa [[milele]] wa [[wokovu]], [[amani]] na [[umoja]].
Tangazo hilo lilitolewa tarehe 25-1-1959. Baada ya maandalizi mtaguso wa pili wa Vatikano ulifunguliwa tarehe 11-10-1962. Vikao vinne vikafanyika mpaka ulipofungwa tarehe 8-12-1965. Kila kikao kilianza Oktoba na kumalizika Desemba ya miaka hiyo.
 
Tangazo hilo lilitolewa tarehe [[25-1- Januari]] [[1959]]. Baada ya maandalizi marefu, mtaguso wa pili wa Vatikano ulifunguliwa tarehe 11-10- Oktoba 1962. Vikao vinne vikafanyika mpaka ulipofungwa tarehe 8-12- Desemba 1965. Kila kikao kilianza Oktoba na kumalizika Desemba ya miaka hiyo.
Jina la mtaguso mkuu huo, ambao ni wa 21 kwa Kanisa Katoliki, linatokana na kwamba ni wa pili kufanyika katika mtaa wa [[Vatikani]], mjini [[Roma]].
 
Jina la mtaguso mkuu huo, ambao ni wa 21 kwa Kanisa Katoliki, linatokana na kwamba ni wa pili kufanyika katika [[mtaa]] wa [[Vatikani]], mjiniambao ni [[nchi huru]] ndani ya [[mji]] wa [[Roma]].
Kwa kuwa Yohane XXIII alifariki tarehe 2-6-1963, vikao vitatu vya mwisho viliongozwa na mwandamizi wake, [[Papa Paulo VI]], na hati zote kumi na sita zikatolewa chini yake pia kwa kupigiwa kura ya ndiyo karibu kwa kauli moja.
 
Kwa kuwa Yohane XXIII alifariki tarehe [[2-6- Juni]] [[1963]], vikao vitatu vya mwisho viliongozwa na [[mwandamizi]] wake, [[Papa Paulo VI]], na [[hati]] zote [[kumi na sita]] zikatolewa chini yake pia kwa kupigiwa [[kura]] ya ndiyo karibu kwa kauli moja.
Maaskofu na wakuu wa mashirika kadhaa wenye haki ya kupiga kura walikuwa kama elfu tatu, wakiwakilisha karibu Kanisa lote duniani, isipokuwa nchi zile zenye kuwadhulumu Wakristo.
 
[[Askofu|Maaskofu]] na wakuu wa mashirika kadhaa wenye [[haki]] ya kupiga kura walikuwa kama [[elfu]] [[tatu]], wakiwakilisha karibu [[Kanisa]] lote [[duniani]], isipokuwa nchi zile zenye [[dhuluma |kuwadhulumu]] [[Wakristo]].
 
== Orodha ya hati 16 za mtaguso ==
Zinaorodheshwa kwa kutaja kwanza hadhi ya hati, halafu jina rasmi la [[Kilatini]], kifupisho chake, mada na tarehe ya kutolewa.
 
===Katiba===
Zinaorodheshwa kwa kutaja kwanza hadhi ya hati, halafu jina rasmi la Kilatini, kifupisho chake, mada na tarehe ya kutolewa.
 
 
KATIBA
1. [[Sacrosanctum Concilium]] (SC) [[Liturujia]] takatifu 4-12-1963
Line 26 ⟶ 28:
4. [[Gaudium et Spes]] (GS) Kanisa katika ulimwengu wa kisasa 7-12-1965
 
===Maagizo===
MAAGIZO
 
1. [[Inter Mirifica]] (IM) Vyombo vya [[upashanaji habari]] 4-12-1963
Line 46 ⟶ 48:
9. [[Presbyterorum Ordinis]] (PO) Huduma na maisha ya kipadri 7-12-1965
 
===Matamko===
MATAMKO
 
1. [[Gravissimum Educationis]] (GE) Malezi ya Kikristo 28-10-1965
Line 55 ⟶ 57:
 
== Mapokezi ya mtaguso ==
Wakristo walio wengi walipokea kazi ya mtaguso kwa [[mikono]] miwili, na wengi nje ya Kanisa pia waliridhika sana. Kutokana nao yamepatikana [[matunda]] mengi, lakini zimejitokeza hata kasoro na shida kwa sababu mbalimbali, hasa kwa kutoelewa wala kutotekeleza sawasawa maagizo yake. Kwa vyovyote hatuwezi kusema yote yaliyotokea baada ya mtaguso yamesababishwa nao, k.mf. maovu yaliyofanywa na baadhi ya [[padri|mapadri]] hayamo kabisa.
 
Pamoja na upinzani wa wazi wa mifumo kadhaa ya kisiasa ([[ukomunisti]] na [[ubepari]]) na matapo mengine ([[Wamasoni]] n.k.) dhidi ya Kanisa, hali ya jumla ya [[ulimwengu]] inazidi kuelekea [[anasa]] na kuabudu [[utajiri]] hata kuzima [[maisha ya kiroho]]. Hivyo ni vigumu kufanikisha mtaguso.
Wakristo walio wengi walipokea kazi ya mtaguso kwa mikono miwili, na wengi nje ya Kanisa pia waliridhika sana. Kutokana nao yamepatikana matunda mengi, lakini zimejitokeza hata kasoro na shida kwa sababu mbalimbali, hasa kwa kutoelewa wala kutotekeleza sawasawa maagizo yake. Kwa vyovyote hatuwezi kusema yote yaliyotokea baada ya mtaguso yamesababishwa nao, k.mf. maovu yaliyofanywa na baadhi ya mapadri hayamo kabisa.
 
Hata ndani ya Kanisa wengi wamesoma hati zake kijuujuu, wakishikilia upande mmoja na kutojali wa pili. Wengine wamevunjika [[moyo]] kuona utekelezaji wa mtaguso unavyokwenda polepole. Wengine wameshughulikia miundo tu ya Kanisa, bila ya kujali [[fumbo]] la [[Mungu|Kimungu]] lililomo ndani yake. Pengine umekosekana [[upambanuzi]], k.mf. wengi walipofuata mitazamo ya ulimwengu uliomuasi Mungu badala ya kujadiliana nao ili kuuokoa.
Pamoja na upinzani wa wazi wa mifumo kadhaa ya kisiasa ([[ukomunisti]] na [[ubepari]]) na matapo mengine ([[Wamasoni]] n.k.) dhidi ya Kanisa, hali ya jumla ya ulimwengu inazidi kuelekea [[anasa]] na kuabudu utajiri hata kuzima [[maisha ya kiroho]]. Hivyo ni vigumu kufanikisha mtaguso.
 
Hata ndani ya Kanisa wengi wamesoma hati zake kijuujuu, wakishikilia upande mmoja na kutojali wa pili. Wengine wamevunjika moyo kuona utekelezaji wa mtaguso unavyokwenda polepole. Wengine wameshughulikia miundo tu ya Kanisa, bila ya kujali [[fumbo]] la Kimungu lililomo ndani yake. Pengine umekosekana [[upambanuzi]], k.mf. wengi walipofuata mitazamo ya ulimwengu uliomuasi Mungu badala ya kujadiliana nao ili kuuokoa.
 
Matatizo yaliyojitokeza baada ya mtaguso yamewaonyesha Wakatoliki haja ya kuupokea vizuri zaidi, kwa kupiga hatua nne zifuatazo:
Line 69 ⟶ 70:
 
== Namna ya kuelewa mtaguso ==
 
Tukitaka kuelewa vizuri hati za mtaguso, ni lazima tuzizingatie zote 16 zilivyo na zinavyofungamana.
 
Mstari 89:
 
== Juhudi za kutekeleza mtaguso ==
 
Kama vile mitaguso mikuu iliyotangulia kupanga urekebisho wa hali ya Kanisa, mtaguso wa pili wa Vatikano pia ujumbe wake hautaweza kuzaa matunda isipokuwa kwa juhudi za muda mrefu.
 
Line 98 ⟶ 97:
== [[Tafsiri]] ya [[Kiswahili]] ==
HATI ZA MTAGUSO MKUU WA VATIKANO II – tafsiri ya Familia za Maamkio – ed. TEC – Baraza la Maaskofu Tanzania – Ndanda 2001 – ISBN 9976-63-649-0
 
== Marejeo ==
{{Refbegin|32em}}
* {{cite book | last = Amerio |first= Romano | author-link = Romano Amerio |title=Iota Unum|publisher=Sarto House|location=Kansas City|isbn=0-9639032-1-7|year= 1996}}
* {{cite book | last = van Bühren | first= Ralf | author-link = Ralf van Bühren | title = Kunst und Kirche im 20. Jahrhundert. Die Rezeption des Zweiten Vatikanischen Konzils | publisher=Schöningh|location=Paderborn|isbn=978-3-506-76388-4|language=German| trans_title = Culture and Church in the 20th Century: The Reception of the Second Vatican Council | year= 2008}}
* {{cite book | last = Bredeck|first=Michael|title=Das Zweite Vatikanum als Konzil des Aggiornamento : zur hermeneutischen Grundlegung einer theologischen Konzilsinterpretation |publisher=Schöningh|location=Paderborn |year=2007|isbn=978-3-506-76317-4 | trans_title = From II Vatican to the Council of Aggionamento: on the hermenetical grounds for a theological interpretation of the council | language= German}}
* {{cite book | last = Gherardini|first= Brunero | language = Italian | contribution = Sull'indole pastorale del Vaticano II: una valutazione | title = Concilio Vaticano II, un concilio pastorale. Analisi storico-filosofico-teologica | editor-first = Serafino | editor-last = Lanzetta| publisher= Casa Mariana Editrice | trans_title = Council Vatican II, a pastoral council: analysis historical-philosophical-theological | location= Frigento, [[Italy|IT]] | isbn = 978-88-905611-2-2 |year= 2011}}
* {{Citation | title = Il Vaticano II. Alle radici d'un equivoco | trans_title = The Vatican II: to the roots of a mistake | first = Brunero | last = Gherardini | place = Torino | publisher = Lindau | year = 2012 | ISBN = 978-88-7180-994-6 | author-mask = 3}}.
* {{cite book | last = O'Malley| first=John W.|title=What Happened at Vatican II|publisher=Harvard University Press|year=2008|isbn= 978-0-674-03169-2}}
* {{cite book | last = Kelly | first = Joseph F. | title = The Ecumenical Councils of the Catholic Church: a History | publisher = Liturgical Press | location = Collegeville | year = 2009 | isbn = 0-8146-5376-6}}
* {{cite book | last = Likoudis | first = James | title = The Pope, the Council, and the Mass | publisher = Emmaus Road Publishing | year = 2006 | isbn = 978-1-931018-34-0}}
* {{cite book | last = Linden | first = Ian | title = Global Catholicism: diversity and change since Vatican II| publisher = Hurst & Co | location = 41 Great Russell St, London | year = 2009 | isbn = 978-1-85065-957-0|page= 337}}
* {{cite book | last = Orsy | first = Ladislas | title = Receiving the Council: Theological and Canonical Insights and Debates | publisher = Liturgical Press | location = Collegeville | year = 2009 | isbn = 0-8146-5377-4}}
* {{cite book | last = Sinke Guimarães|first=Atila|title=In the Murky Waters of Vatican II|publisher=MAETA|location=Metairie|isbn=1-889168-06-8|year= 1997}}
* {{cite book | last = Wiltgen |first= Ralph M. | author-link = Ralph M. Wiltgen |title=The Rhine flows into the Tiber|publisher=TAN books|isbn=0-89555-186-1|year= 1991}}
{{refend}}
 
== Viungo vya nje ==
Line 104 ⟶ 119:
[[Jamii:Kanisa Katoliki]]
[[Jamii:Mitaguso]]
[[Jamii:Vatikani]]