Uajemi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 104:
 
==Watu==
Iran ina mchanganyiko wa makabila na dini uliounganishwa na [[utamaduni]] na [[lugha]] ya [[Kiajemi]], ambayo inatumiwa na wananchi walio wengi na ndiyo [[lugha rasmi]], ikifuatwa na lugha nyingine za jamii ya [[Lugha za Kihindi-Kiulaya|Kihindi-Kiulaya]], lakini pia za jamii nyingine kama [[Kiazeri]] (16%) na [[Kiarabu]] (2%) (angalia [[orodha ya lugha za Uajemi]]).
 
=== Dini ===
62,394

edits