Tofauti kati ya marekesbisho "Kipindupindu"

143 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
'''Kipindupindu''' (kwa [[Kilatini]] na [[Kiingereza]] ''cholera'' kutoka neno la [[Kigiriki]] χολέρα, kholera, lililotokana na χολή, kholē, [[nyongo]]) ni [[ugonjwa]] hatari unaosababishwa na [[bakteria]] hasa katika [[utumbo mwembamba]].
 
[[Dalili]] zake ni [[kuhara]] sana na [[kutapika]] sana pamoja na [[homa]] kali. Kuambukizwa hutokea hasa kupitia [[maji]] au vyakula vilivyochafuliwa. Kiwango cha kuhara na kutapika kinaleta upungufu wa maji na uwiano wa [[chumvi]] mwilini. Baada ya dalili hizo kutokea kuna hatari ya [[kifo]] kwa [[asilimia]] 20 - 70 ya wagonjwa kama hawana [[tiba]].
Tanzania tunaweza kujilinda na kipindupindu endapo tukajilinda na vitu vifuatavyo ambavyo ni kunywa maji safi na salama na kula chakula kisicho poa
 
[[Picha:Cholera bacteria SEM.jpg|thumb|right|Bakteria wa ''Vibrio cholerae'']]<ref name=Sherris>
{{cite book