Dawa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 11:
*Madawa mengine hupatikana ndani ya mimea au pia [[wanyama]] kadhaa. Tangu kale athira zao zilijulikana kwa watu na [[elimu]] yao kukusanywa na [[wataalamu]] wa kienyeji na kutumiwa kwa tiba au pia kama [[sumu]]. Madawa haya hujulikana pia kwa jina la [[mitishamba]]. Hadi leo [[jani|majani]], [[mzizi|mizizi]] au sehemu nyingine za mimea hukusanywa kwa utengenezaji wa madawa ya tiba.
*Madawa mengine yanajulikana kuathiri hali ya kiroho kwa njia inayotafutwa na watumiaji.
**Madawa ya raha kama [[kafeini]] ya [[kahawa]] au [[chai]] na [[nikotini]] ya [[tumbaku]] yanakubaliwa kwa kiasi kikubwa katika [[jamii]].
**[[Madawa ya kulevya]], kama vile [[bangi]], ni madawa yanayoweza kusababisha [[ulevi]], mara nyingi pamoja na hali ya [[uraibu]] ambako mtumiaji anaanza kutegemea dawa hili hadi hawezi kuiacha tena. Kutokana na hatari kwa afya zinazokuja na matumizi madawa haya yamepigwa marufuku katika nchi nyingi.
 
{{mbegu-tiba}}