Dawa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 13:
**Madawa ya raha kama [[kafeini]] ya [[kahawa]] au [[chai]] na [[nikotini]] ya [[tumbaku]] yanakubaliwa kwa kiasi kikubwa katika [[jamii]].
**[[Madawa ya kulevya]], kama vile [[bangi]], ni madawa yanayoweza kusababisha [[ulevi]], mara nyingi pamoja na hali ya [[uraibu]] ambako mtumiaji anaanza kutegemea dawa hili hadi hawezi kuiacha tena. Kutokana na hatari kwa afya zinazokuja na matumizi madawa haya yamepigwa marufuku katika nchi nyingi.
*Madawa ya tiba ya wanyama: ilhali wanyama wengi hasa mamalia wanafanana kimaumbile na binadamu madawa mengine hutumiwa pia kutibu maradhi ya wanyama.
*Madawa ya kilimo ni hasa madawa ya kuua au kuzuia wadudu mashambani au pia kuua au kuzuia upanuzi wa [[fungi]] na vijidudu vinavyosababisha maradhi ya mimea. Mara nyingi zinafanya kazi ya sumu na kutokana na hatari ya mabaki yao kwenye mazao ya chakula kwa binadamu kuna jitihada nyingi kutumia [[dawa za kibiolojia]] katika kilimo.
 
{{mbegu-tiba}}