Tofauti kati ya marekesbisho "Krete"

185 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Krete''' (kwa Kigiriki Κρήτη, ''Kríti'', matamshi ya kale, ''Krḗtē'') ni kisiwa kikuu na chenye watu wengi zaidi cha Ugiriki, na ni cha...')
 
'''Krete''' (kwa [[Kigiriki]] Κρήτη, ''Kríti'', matamshi ya kale, ''Krḗtē'') ni [[kisiwa]] kikuu na chenye watu wengi zaidi cha [[Ugiriki]], na ni cha tano katika [[Bahari ya Kati]], baada ya [[Sicily]], [[Sardinia]], [[Cyprus]], na [[Corsica]].
 
Pamoja na visiwa vya jirani kinaunda [[mkoa wa Krete]] (Περιφέρεια Κρήτης), mmoja kati ya 13 ya nchi nzima. [[Mwaka]] [[2011]], mkoa huo ulikuwa na wakazi 623,065.
Zamani ([[2700 KK|2700]]–[[1420 KK]] hivi) Krete ilikuwa kiini cha [[ustaarabu wa Minoa]], wa kwanza kustawi huko [[Ulaya]].<ref name="Ancient Crete">[http://oxfordbibliographiesonline.com/display/id/obo-9780195389661-0071 Ancient Crete] Oxford Bibliographies Online: Classics</ref>
 
Inatajwa na [[Biblia]] pamoja na tabia za wakazi wake.
 
Katika [[miaka ya 60]] [[Mtume Paolo]] alimuacha huko [[askofu]] [[Tito]] ili aweke [[wakfu]] [[padri|mapadri]] katika kila mji. Halafu alimuandikia [[Waraka kwa Tito|barua maarufu]].
 
==Tanbihi==