Tofauti kati ya marekesbisho "Krete"

91 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
[[File:Boats in the harbour - Heraklion, Crete.jpg|thumb|250px|[[Bandari]] ya Heraklion.]]
'''Krete''' (kwa [[Kigiriki]] Κρήτη, ''Kríti'', matamshi ya kale, ''Krḗtē'') ni [[kisiwa]] kikuu na chenye watu wengi zaidi cha [[Ugiriki]], na ni cha tano katika [[Bahari ya Kati]], baada ya [[Sicily]], [[Sardinia]], [[Cyprus]] na [[Corsica]].