Krete : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Krete''' (kwa [[Kigiriki]] Κρήτη, ''Kríti'', matamshi ya kale, ''Krḗtē'') ni [[kisiwa]] kikuu na chenye watu wengi zaidi cha [[Ugiriki]], na ni cha tano katika [[Bahari ya Kati]], baada ya [[Sicily]], [[Sardinia]], [[Cyprus]] na [[Corsica]].
 
Pamoja na visiwa vya jirani vya [[bahari ya Aegean]] kinaunda [[mkoa wa Krete]] (Περιφέρεια Κρήτης), mmoja kati ya 13 ya nchi nzima. [[Mwaka]] [[2011]], mkoa huo ulikuwa na wakazi 623,065.
 
[[Mji mkuu]] na [[mji]] mkubwa ni [[Heraklion]].
Mstari 13:
Inatajwa na [[Biblia]] pamoja na tabia za wakazi wake.
 
Katika [[miaka ya 60]] [[Mtume PaoloPaulo]] alimuacha huko [[askofu]] [[Tito]] ili aweke [[wakfu]] [[padri|mapadri]] katika kila mji. Halafu alimuandikia [[Waraka kwa Tito|barua maarufu]].
 
==Tanbihi==