Mji mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q5119 (translate me)
Mstari 32:
== Miji mikuu mbalimbali ==
'''[[Afrika Kusini]]''' ina miji mikuu mitatu kikatiba: [[Pretoria]] ndipo makao makuu ya serikali, [[Cape Town]] ndipo makao makuu ya bunge, [[Bloemfontein]] ndipo makao makuu ya [[Mahakama Kuu]].
[[File:Parliament Hill, Ottawa.jpg|thumb|[[Jengo la bunge]], mji wa [[Ottawa]],ambao ndio mji mkuu wa [[Kanada]].]]
 
'''[[Bolivia]]''' ina mji mkuu rasmi katika jiji la [[Sucre]], lakini ofisi nyingi za serikali ya kitaifa zimehamia mji mkubwa wa nchi [[La Paz]].