Blandina Changula : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Masahihisho aliyefanya 197.250.62.136 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na 156.156.181.95
Mstari 12:
| kazi yake = [[Muigizaji]]
| miaka ya kazi = mn. [[2002]] hadi [[2007]]
| ameshirikiana na = [[Steven Kanumba]], [[Vincent Kigosi]],[[GEORGEMwanaidi MARIKISuka]], [[Donah Redson]] nk.
| ala =
| kampuni = Game First Quality
Mstari 20:
 
==Maisha ya Mwanzo==
Blandina alipata [[elimu]] ya msingi katika shule ya [[Bugoyi]] [[mwaka]] [[1990]] hadi [[1997]] na kujiunga katika shule ya sekondsekondari ya kutwa ya [[Buluba]] iliyopo [[Shinyanga]] [[mwaka]] [[1998]] hadi [[1999]].
 
Akiwa kidato cha pili alihamishiwa katika [[shule]] ya bweni ya [[Kanawa]] hukohuko mkoani [[Shinyanga]] [[mwaka]] [[1999]] hadi [[2000]] na [[mwaka]] huo huo baada ya kuingia kidato cha tatu akahamishiwa tena jijini [[Dar es Salaam]] katika [[shule]] ya Greens iliyokuwa maeneo ya [[Temeke]] kabla ya kuhamishiwa [[Ubungo]] shule ambayo alimalizia kidato cha nne hiyo ilikuwa mnamo [[mwaka]] [[2001]].
 
Blandina Changula anatokea kundi la [[Kaole Sanaa Group]], ni kundi ambalo linafahamika sana nchini Tanzania kwa kutoa nyota wengi wa uigizaji, Blandina nae ni mmoja kati ya nyota
hao, wengine ni [[Steven Kanumba]], [[Vincent Kigosi]] (Mr Ray), Tea na wengine wengi tu kutoka [[Kaole Sanaa Group]].
kwa hivi sasa Blandina Chagula kwa kushirikiana na msanii mwenzake Vincent Kigosi wana kampuni yao pamoja iitwayo RJ Company (Ray & Johari coumpany ) ambayo inafanya kazi ya kuzalisha filamu mbalimbali kama vile Bed Rest, Bad Luck , Wrong hope , Peace of mind , Fair Decision nk.
== Baadhi ya Filamu Alizoigiza ==
* Sikitiko Langu
* [[Johari|Johari 1 na 2]]
* Dangerous Desire
* Dar 2 Lagos
 
== Anaoshirikiana Nao ==
* [[Steven Kanumba]]
* [[Vincent Kigosi]]
* [[Muhsein Awadh]]
* [[Ally Chaowa]]
* [[Kulwa Kikumba]]
* [[Mwanaidi Suka]]
* [[Nuru Nassoro]]
* [[Ndumbagwe Misayo]]
* [[Donah Redson]]
* [[Fatuma Makongoro]]
* [[Emmanuel Myamba]]
* [[Charles Magari]]
* [[Fatuma Mvura]]
* [[Mohamed Mwikongi]]
* [[Fadhili Omar]]
 
===Wanigeria===
* [[Mercy Johson]]
* [[Nkilu Sylvanus]]
* [[Nancy Okeke]]
* [[Bimbo Ankintola]]
 
{{Mbegu-mtu}}
 
{{DEFAULTSORT:Changula, Blandina}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1983]]
[[Jamii:Waigizaji filamu wa Tanzania]]
[[Jamii:Filamu za Tanzania]]
[[Jamii:Waongozaji wa Filamu za Tanzania]]
[[Jamii:Watu walio hai]]