Damu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 130:
[[File:Diagram of the human heart (cropped).svg|thumb|Mzunguko wa damu kupitia moyo wa binadamu]]
 
{{main|CirculatoryMfumo systemwa mzunguko wa damu}}
Damu husambazwa mwilini kupitia vyombo vya damu kwa msukumo wa [[Moyo|moyo.]] Kwa binadamu, damu husukumwa kutoka ventrikuli thabiti ya kushoto ya moyo na kupitia ateri hadi tishu za pembeni na hurudi kwa atiria ya moyo kupitia mshipa. Baadaye huingia kwenye ventrikali ya kulia kupitia ateri ya mapafu na husukumwa kwa [[Mapafu|mapafu]] na kurudi kwenye atiria ya kushoto kupitia mshipa wa mapafu. Damu kisha inaingia katika ventrikali ya kushoto ili isambazwe tena. Damu ya ateri hubeba oksijeni kutoka kwa hewa iliyovutwa ndani hadi kwa seli zote za mwili, na damu ya vena hubeba dioksidi ya kaboni, bidhaa taka ya metaboli ya [[Seli|seli,]] hadi kwa mapafu ili itolewe nje. Hata hivyo, tofauti moja ni ile ya ateri ya mapafu, iliyo na damu isiyo na oksijeni zaidi mwenye mwili, huku vena za zikiwa na damu yenye oksijeni.