Tofauti kati ya marekesbisho "Homoni"

680 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
jaribio la kunyosha lugha kidogo
d (Bot: Migrating 85 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q11364 (translate me))
(jaribio la kunyosha lugha kidogo)
 
[[File:Epinephrine structure.svg|right|thumb|180px|Epinefrini(adrenalini), ni homoni aina catecholamine-]]
'''Homoni''' (pia: '''hormoni''', kutoka [[Kigiriki]] ὁρμᾶν ''horman'' - "kichochezi", "msukumo") ni kemikali zinazotolewa na [[tezi]] za mwilini na kusafiri kupitia [[mfumo wa mzunguko wa damu]] hadi [[ogani]] za mwili. Hapa zinasababisha mabadiliko katika kazi ya ogani. Kwa lugha nyingine zinapeleka ujumbe kwa ogani.
Homoni (kutoka Kigiriki [1] ὁρμή - "msukumo") ni kemikali iliyotolewa na kiini katika sehemu moja ya mwili, na kutuma ujumbe unaoathiri seli katika sehemu nyingine ya kiumbe. Ni kiwango kidogo tu cha homoni kinachohitajika kubadilisha metaboli ya seli. Kimsingi,ni mtume kikemikali ambaye husafirisha ishara kutoka kiini kioja hadi kingine. Viumbe vyote vyenye seliuwingi husanisi homoni, homoni za mimiea pia zinajulikana kama phytohomoni. Kwa kawaida, homoni kwa wanyama husafirishwa mwilini kupitia mfumo wa damu. Seli huonyesha mwitikio kwa homoni pale panapo kuwa na uhusiano na kipokezi maalum cha homoni hiyo. Homoni ile hufungamana na kipokezi protini na kuishia kuamsha ishara ya uhamisho wa DNA kutoka kwa seli ya bakteria hadi nyingine na kusababisha mwitikiomaalum ya kiini.
 
==Mfano wa kazi ya homoni==
Jicho latazama simba, ubongo unaamua kuna hali ya hatari. Unatuma amri kupitia neva kwa tezi maalumu iliyoko kando la figo; tezi hutengeneza homoni ya [[adrenalini]] na kuimwaga katika mzunguko wa damu. Adrenalini inafika pande zote za mwili kupitia damu na kusababisha mabadiliko katika ogani zenye molekuli za kupokea na kuelewa adrenalini. Ujumbe huu unasababisha:
* moyo inapiga haraka zaidi
* mishipa ya damu inajikaza na shinikizo la damu laongezeka
* mishipa ya hewa ndani ya mapafu inapanuka
 
Kwa hiyo mwili unakuwa tayari kwa kukimbia au kupigana na hatari.
 
==Homoni kama mfumo wa habari==
Homoni (kutoka Kigiriki [1] ὁρμή - "msukumo") ni kemikali iliyotolewa na kiini katika sehemu moja ya mwili, na kutuma ujumbe unaoathiri seli katika sehemu nyingine ya kiumbe. Ni kiwango kidogo tu cha homoni kinachohitajika kubadilisha metaboliumetaboli yawa seli. Kimsingi, homoni ni mtume wa kikemikali ambaye husafirisha isharaujumbe kutoka kiini kiojatezi hadi kingineogani nyingine. Viumbe vyote vyenye seliuwingi husanisi homoni,. homoniHomoni za mimiea piamimea zinajulikana kama "phytohomoni". Kwa kawaida, homoni kwa wanyama husafirishwa mwilini kupitia mfumo wa damu. Seli huonyesha mwitikio kwa homoni pale panapo kuwa na uhusiano na kipokezi maalum cha homoni hiyo. Homoni ile hufungamana na kipokezi protini nakipokezi kuishia kuamsha ishara ya uhamisho wa DNA kutoka kwakwenye seli yaza bakteriaogani hadihusika. nyingine na kusababisha mwitikiomaalum ya kiini.
 
Homoni zinasambaa kote mwilini lakini zinapokelewa na kueleweka tu kwa ogani ambazo zina seli za pekee za kupokea na kuelewa homoni husika. Ogani nyingine hazina protini za kupokea homoni hizi; yaani kila homoni hupokelewa na ogani za pekee ilhali ogani nyingine hazihusiki nayo.
 
Molekuli za homoni za endocrini huachiliwa moja kwa moja ndani ya mfumo wa damu ilihali homoni exocrini(au ectohomoni)huachiliwa kwa kichirizi na baadaye kuingia kwenye mfumo wa damu ama enea moja kwa moja kwa kutoka kiini kimoja hadi kiingine kwa mbinu inayojulikana kama parakrini ishara.
== Homoni kama ishara ==
Kionyesha ishara za homoni inahusisha yafuatayo: