Damu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 7:
[[File:320fishblood600x2.jpg|thumb|right|Damu ya samaki iliyokuzwa mara 600 ]]
[[Picha:Bleeding finger.jpg|thumb||Damu ikitoka kwenye kidonda]]
'''Damu''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni [[kiowevu]] katika [[mwili]] wa [[binadamu]] na pia wanayama[[wanyama]]. Inazunguka mwilini ikisukumwa na [[moyo]] ndani ya [[mishipa ya damu]]. Kazi yake ni kupeleka lishe na [[oksijeni]] kwa [[seli]] za mwili na kutoa [[daioksaidi ya kaboni]] pamoja na uchafu mwingine kutoka seli.
 
Kazi yake ni kupeleka [[lishe]] na [[oksijeni]] kwa [[seli]] za mwili na kutoa [[daioksaidi ya kaboni]] pamoja na [[uchafu]] mwingine kutoka seli.

Ndani ya damu kuna [[utegili (damu)|utegili]] (kwa [[ing.Kiingereza]] ''plasma'') ambao ni kiowevu chake pamoja na [[seli za damu]] nyekundu na nyeupe. [[Seli nyekundu]] hubeba oksijeni wakati daioksaidi ya kaboni hubebwa na utegili. [[Seli nyeupe]] ni kama walinzi wa mwili wa kupambana na [[magonjwa]].

Mtu mzima huwa na damu [[lita]] 6 mwilini.
==Muundo wa damu==
Kati ya [[Vertebrata|viumbe wenye uti wa mgongo]], damu imetengenezwa kwa seli za damu zinazoelea katika [[Kiowevu|umajimaji]] unaoitwa [[plasma ya damu]]. Plasma, inayoundwa kwa 55% ya giligili ya damu, ambayo hasa ni maji (90% kwa kiasi), <ref>
{{cite web
| url = http://www.fi.edu/learn/heart/blood/blood.html
Line 19 ⟶ 23:
| author = The Franklin Institute Inc.
}}
</ref> na ina [[protini]], [[glukosi]], [[ioni]] za [[madini]], [[homoni]], [[Dioksidi kabonia|dioksidi ya kaboni]] (Plasma ikiwa ndiyo chombo kuukikuu yacha usafirishaji wa bidhaa taka), [[chembe za kugandisha damu]] na seli za damu zenyewe. Seli za damu zilizo kwenye damu hasa ni seli nyekundu za damu (zinazofahamika pia kama RBC yaani Red Blood Cells au erithrosaiti) na seli nyeupe za damu, ikiwa nizikiwa pamoja na lukosaiti na chembe za kugandisha damu.
 
Seli nyingi zaidi katika damu za wanyama wenye uti wa mgongo ni seli nyekundu za damu. Seli hizi zina himoglobini, protini yenye [[Chuma|madini ya chuma,]] ambayo huwezesha usafirishaji wa [[Oksijeni|oksijeni]] kwa kujiunganisha kwa hali ya kujirudia na gesi hii ya kupumua na kuongeza kwa kiasi kikubwa umumunyifu wake katika damu. Kwa upande mwingine, dioksidi ya kaboni inasafirishwa karibu kabisa nje ya seli ikiwa imeyeyushwa ndani ya plazma kama ioni ya bikaboneti.
Line 42 ⟶ 46:
==Kazi==
[[File:1GZX Haemoglobin.png|right|thumb|Himoglobinikijani = kikundi cha heme nyekundu &amp; buluu = visehemu vya protini]]
 
[[File:Heme.svg|right|thumb|Heme]]
Damu hufanya kazi nyingi muhimu katika mwili zikiwemo:
Line 56 ⟶ 59:
 
==Vipengele vya damu ya binadamu==
{{Seealso|Reference ranges for common blood tests}}
[[File:Blut-EDTA.jpg|upright|thumb|Neli mbili za EDTA-damu isiyoganda. Neli ya kushoto: baada ya kusimama, RBC zinakusanyika katika sehemu ya chini ya neli. Neli ya kulia: yenye damu mbichi iliyotoka kutolewa.]]
Damu inachangia 8% ya uzito wa mwili wa binadamu, <ref name="alberts_table">{{Cite web|url=http://www.ncbi.nlm.nih.gov/sites/entrez?cmd=Search&db=books&doptcmdl=GenBookHL&rid=mboc4.table.4143|title=Leukocyte functions and percentage breakdown|accessdate=2007-04-14|publisher=NCBI Bookshelf|year=2005|author=Alberts, Bruce|work=Molecular Biology of the Cell}}</ref> ulio na uzito wastani wa 1060 kg/ m <sup>3,</sup> inakaribiana sana na uzito wa maji masafi ya 1000 kg/ m <sup>3.</sup> <ref>{{cite web | url = http://hypertextbook.com/facts/2004/MichaelShmukler.shtml | title = Density of Blood | accessdate = 2006-10-04 | year = 2004 | work=The Physics Factbook|last=Shmukler|first=Michael }}</ref> Mtu mzima wa kadiri ana kiasi cha damu cha kama lita 5 (1.3 gal) hivi, linalojumuisha plazma na aina kadhaa za seli (mara kwa mara zinazoitwa ''chembedamu);'' elementi hizi zilizoundwa kutoka kwa damu ni chembe chembe nyekundu za damu (seli nyekundu za damu), lukosaiti (seli nyeupe za damu), na thrombositi(chembe za kugandisha damu). Kwa kiasi, seli nyekundu za damu huchangia takribani 45% ya damu yote, plazma takribani 54.3%, na seli nyeupe takribani 0.7%.
Line 63 ⟶ 65:
 
===Seli===
{{See|Complete blood count}}
Mikrolita moja ya damu ina:
*'''Chembechembe nyekundu za damu''' milioni 4.7 hadi 6.1 (za kiume), milioni 4.2 hadi 5.4 (za kike):''' <ref>{{cite web
Line 114 ⟶ 115:
 
===Kadiri ndogo ya thamani za pH===
{{seealso|Acid-base homeostasis}}
 
[[Thamani pH|pH]] ya damu inadhibitiwa ili ibaki katika kadiri ndogo ya 7.35 hadi 7.45, na hivyo kuifanya alikalini kiasi. <ref name="Waugh">{{cite book|last1=Waugh|first1=Anne|last2=Grant|first2=Allison|title=Anatomy ans Physiology in Health and Illness|publisher=Churchill Livingstone Elsevier|date=2007|edition=Tenth |pages=22|chapter=2|isbn=978 0 443 10102 1}}</ref> <ref name="ReferenceA">{{MerckManual|12|157|a||Acid-Base Regulation and Disorders}}</ref> Damu iliyo na pH chini ya 7.35 ni ya asidii mno, huku pH ya damu iliyo juu ya 7.45 ni ya alkali mno. pH ya damu, sehemu ya shinikizo la oksijeni (po <sub>2),</sub> sehemu ya shinikizo la dioksidi ya kaboni (pCO <sub>2),</sub> na <sub>3</sub> HCO zinadhibitiwa kwa makini kupitia taratibu kadhaa za homiostasisi, ambazo hutumia uwezo wao hasa kupitia mfumo wa upumuaji na mfumo wa mkojo ili kudhibiti usawa wa msingi wa asidi na kupumua. Gesi ya damu ya ateri itapima vitu hivi. Plazma pia huzungusha homoni na kupeleka ujumbe wao kwa tishu mbalimbali. Orodha ya kadiri za kurejelea za kawaida za elektrolaiti mbalimbali ni ndefu.
 
Line 129 ⟶ 128:
===Mfumo wa moyo na mishipa===
[[File:Diagram of the human heart (cropped).svg|thumb|Mzunguko wa damu kupitia moyo wa binadamu]]
 
{{main|Mfumo wa mzunguko wa damu}}
Damu husambazwa mwilini kupitia vyombo vya damu kwa msukumo wa [[Moyo|moyo.]] Kwa binadamu, damu husukumwa kutoka ventrikuli thabiti ya kushoto ya moyo na kupitia ateri hadi tishu za pembeni na hurudi kwa atiria ya moyo kupitia mshipa. Baadaye huingia kwenye ventrikali ya kulia kupitia ateri ya mapafu na husukumwa kwa [[Mapafu|mapafu]] na kurudi kwenye atiria ya kushoto kupitia mshipa wa mapafu. Damu kisha inaingia katika ventrikali ya kushoto ili isambazwe tena. Damu ya ateri hubeba oksijeni kutoka kwa hewa iliyovutwa ndani hadi kwa seli zote za mwili, na damu ya vena hubeba dioksidi ya kaboni, bidhaa taka ya metaboli ya [[Seli|seli,]] hadi kwa mapafu ili itolewe nje. Hata hivyo, tofauti moja ni ile ya ateri ya mapafu, iliyo na damu isiyo na oksijeni zaidi mwenye mwili, huku vena za zikiwa na damu yenye oksijeni.
Line 145 ⟶ 143:
===Usafirishaji wa oksijeni ===
[[File:Oxyhaemoglobin dissociation curve.png|thumb|Pindo msingi la uloweshwaji wa himoglobiniUnasongezwa upande wa kulia katika hali ya kiwango cha juu cha asidi (kiwango cha juu zaidi cha dioksidi ya kaboni) na upande wa kushoto katika hali ya kiwango cha chini cha asidi (kiwango cha chini zaidi cha dioksidi ya kaboni)]]
Kadiri 98.5% ya [[Oksijeni|oksijeni]] katika sampuli ya damu ya ateri katika binadamu mwenye afya anayepumua kwa kanieneo ya bahari hushikanishwa kikemikali pamoja na Hgb (Himoglobini). Kadiri 1.5% imeyeyushwa kimwili katika majimaji zingine za damu na haijaunganishwa na Hgb. Molekuli ya himoglobini ndiyo kisafirishaji kikuu cha oksijeni katika miili ya mamalia na aina nyingine nyingi (kwa wanyama wenye mfumo tofauti, angalia hapo chini). Himoglobini ina uwezo wa kuunganisha oksijeni wa kati ya 1.36 na 1.37 ml O <sub>2</sub> kwa gramu ya Himoglobini, <ref>{{cite journal |author=Dominguez de Villota ED, Ruiz Carmona MT, Rubio JJ, de Andrés S |title=Equality of the in vivo and in vitro oxygen-binding capacity of haemoglobin in patients with severe respiratory disease |journal=Br J Anaesth |volume=53 |issue=12 |pages=1325–8 |year=1981 |month=December |pmid=7317251 |doi= 10.1093/bja/53.12.1325|url=}}</ref> ambayo huongeza ujumla wa uwezo wa oksijeni ya damu mara sabini, <ref name="brsphys">{{cite book |author=Costanzo, Linda S. |title=Physiology |publisher=Lippincott Williams & Wilkins |location=Hagerstwon, MD |year=2007 |pages= |isbn=0-7817-7311-3 |oclc= |doi= |accessdate=}}</ref> ikilinganishwa na ikiwa oksijeni pekee ingebebwa kwa umumunyifu wake wa O 0.03 mL kwa lita <sub>2</sub> ya damu kwa sehemu ya shinikizo ya mmHg ya oksijeni (takriban 100 mmHg katika ateri). <ref name="brsphys"></ref>
 
Isipokuwa ateri za mapafu na kitovu na vena zao husika, ateri hubeba damu yenye oksijeni kutoka kwa [[Moyo|moyo]] na kuipeleka kwa mwili kupitia viateri na mishipa ya damu, ambapo oksijeni hutumika; baadaye, venali, na mishipa hubeba damu isiyo na oksijeni na kuirudisha kwa moyo.
Line 154 ⟶ 152:
 
===Usafirishaji wa dioksidi ya kaboni===
Wakati damu inapotiririka kupitia mishipa, dioksidi ya kaboni huenea kutoka kwa tishu hadi kwenye damu. Kiasi kingine cha dioksidi ya kaboni huyeyushwa kwenye damu. Sehemu ya CO <sub>2</sub> huathiriwa na himoglobini na protini zingine na kuunda michanganyiko ya kaboni na amino. Dioksidi ya kaboni iliyobaki inabadilishwa kuwa bikaboneti na Ioni za haidrojeni kupitia kitendo cha RBC cha kiondoa maji cha kaboni . Kiasi kikubwa cha dioksidi ya kaboni kinasafirishwa kupitia damu katika muundo wa ioni za bikaboneti.
 
[[Dioksidi kabonia|Dioksidi ya kaboni]] (CO <sub>2),</sub> bidhaa kuu taka kutoka kwa seli hubebwa katika damu ikiwa hasa imeyeyushwa kwenye plazma, kwa kiasi sawa na bikaboneti (HCO <sub>3</sub> <sup>-)</sup> na asidi ya kaboni (H <sub>2</sub> CO <sub>3).</sub> 86-90% ya CO <sub>2</sub> katika mwili hubadilishwa kuwa asidi ya kaboni, ambayo inaweza kubadilika haraka kuwa bikaboneti, ulinganifu wa kemikali ukiwa muhimu katika ukingaji wa pH ya plazma. <ref name="veq"> [http://www.biology.arizona.edu/biochemistry/problem_sets/medph/intro.html Biology.arizona.edu] . Oktoba 2006. ''Uwiano wa kliniki wa viwango vya pH: bikaboneti kama kinga.'' </ref> [[Thamani pH|pH]] ya damu huwekwa katika kadiri ndogo (pH ya kati ya 7.35 na 7.45). <ref name="ReferenceA"></ref>
Line 162 ⟶ 160:
 
===Mfumo wa limfatiki===
{{main|LymphaticMfumo systemwa limfu}}
Kwa mamalia, damu ina ulinganifu na limfatiki, ambayo huendelea kuundwa katika tishu kutoka kwa damu na kwa uchujaji wa kupita kiasi wa mshipa mdogo wa damu. Limfatiki hukusanywa kupitia mfumo wa vyombo vidogo vya limfatiki na kuelekezwa kwa mchirizi wa kifua, ambayo huielekeza katika machafu katika mshipa wa subklavia wa kushoto ambapo limfatiki huungana na mfumo wa mzunguko wa damu.
 
Line 218 ⟶ 216:
 
===Matatizo ya kihematolojia===
{{seealso|HematologyHematolojia}}
 
* Upungufu wa damu mwilini
** Idadi ndogo ya seli nyekundu (anemia) inaweza kusababishwa na kutoka damu, matatizo ya damu kama vile thalasemia, au ukosefu wa virutubishi, na inaweza kuhitaji kuongezewa damu. Nchi kadhaa zina benki ya damu zinazokidhi mahitaji ya damu kwa damu inayoweza kuongezewa. Mtu anayepokea damu lazima awe na aina ya damu iliyo sambamba na ile ya mtoaji damu.
Line 239 ⟶ 236:
 
===Usumisho wa monoksidi ya kaboni===
{{main|Carbon monoxide poisoning}}
Dutu zingine bali na oksijeni zinaweza kuungana na himoglobini, wakati mwingine hali hii inaweza kuleta madhara yasiyoweza kubadilishwa kwa mwili. [[Monoksidi ya kaboni]], kwa mfano, ni hatari sana inapobebwa hadi kwenye damu kupitia mapafu kwa kuvuta pumzi, kwa sababu monoksidi ya kaboni hushikana kabisa na himoglobini na kuunda himoglobini kaboksili, hivi kwamba himoglobini kidogo zaidi ina uhuru wa kuungana na oksijeni, na hivyo kiwango cha chni zaidi cha oksijeni kinaweza kusafirishwa katika damu. Hali hii huweza kusababisha kukosekana kwa hewa kwa njia fichu. Moto katika chumba kilichofungwa na kisicho na tundu za kuingiza hewa ni hatari sana, kwa kuwa kinaweza kukusanya monoksidi ya kaboni katika hewa. Kiasi fulani cha monoksidi ya kaboni huungana na himoglobini wakati wa uvutaji wa [[Mtumbako|tumbaku.]] {{Citation needed|date=May 2010}}
 
Line 261 ⟶ 257:
Kulingana na '' Oxford English Dictionary,'' neno "damu" lina asili yake kabla ya karne ya 12. Neno hili limechukuliwa kutoka kwa Kiingereza cha miaka ya kati, ambacho kimechukuliwa kutoka kwa neno nzee la Kiingereza ''blôd'' , ambalo ni sawa na neno la kale la ngazi ya juu la Kijerumani ''bluot'' , lenye maana damu. Neno la kisasa la Kijerumani ni '''' (das) Blut.{/0
 
===Dawa ya kirasmirasmi ya Ugiriki===
Katika dawa rasmi ya Kigiriki, damu ilihusishwa na hewa, majira ya kuchipuka, na kwa nafsi ya sherehe na ulafi ''(sanguine)'' . Pia iliaminika kuwa zilizalishwa na ini pekee.
 
Line 267 ⟶ 263:
Katika matibabu ya [[Hippokrates|Hipokrati,]] damu ilichukuliwa kama moja ya nafsi nne, zingine zikiwa ni kohozi, nyongo njano, na nyongo nyeusi.
 
==Utamaduni na imani za kidinidini==
Kutokana na umuhimu wake katika maisha, damu inahusishwa na idadi kubwa ya imani. Moja kati ya kuu zaidi ni matumizi ya damu kama alama ya mahusiano ya familia kupitia kuzaliwa / uzazi; kuwa na "uhusiano wa damu" ni kuhusiana kwa uzazi au nasaba, badala ya ndoa. Hii huhusiana kwa karibu na ukoo, na misemo kama vile "damu ni nzito kuliko maji" na "damu mbaya", na pia "ndugu wa damu." Damu husisitizwa sana katika dini za Kiyahudi na Kikristo kwa sababu Walawi 17:11 inasema "maisha ya kiumbe yamo katika damu." Fungu hili ni sehemu ya sheria ya Kilawi inayopinga unywaji wa damu au ulaji wa nyama ambayo bado ina damu ndani yake badala ya kuyamwaga nje.
 
Marejeleo ya hadithi kuhusu damu mara nyingine yanaweza kushikanishwa na hali ya kutoa uhai ya damu, kama inavyodhihirika katika matukio kama vile kujifungua, ikilinganishwa na damu ya jeraha au kifo.
 
===Wa-AustraliaWaaustralia asili===
Katika desturi za watu wa Australia wenye asili ya Aborijini, ngeu (hasa nyekundu) na damu, zote zikiwa na kiwango cha juu cha [[Chuma|chuma]] na ambazo zinadhaniwa kuwa Maban, (zenye nguvu za uchawi) hupakwa kwenye miili ya wachezaji wakati wa matambiko. Kama Lawlor anavyonasema:<blockquote>
Katika tamaduni na sherehe nyingi za Aborijini, ngeu nyekundu hupakwa katika sehemu zote za miili uchi za wachezaji. Katika sherehe za siri na takatifu za kiume, damu iliyoondolewa kutoka kwenye vena za mikono ya mshiriki hubadilishwa na kusuguliwa juu ya miili yao. Ngeu nyekundu pia hutumiwa kwa njia sawa na hii katika sherehe zisizo za siri. Damu pia hutumika kushikilia manyoya ya ndege kwenye miili ya watu. Manyoya ya ndege huwa na protini ambayo ina kiwango cha juu cha hisi ya magnetiki. <ref>{{cite book |author=Lawlor, Robert |title=Voices of the first day: awakening in the Aboriginal dreamtime |publisher=Inner Traditions International |location=Rochester, Vt |year=1991 |pages=102–3 |isbn=0-89281-355-5 }}</ref></blockquote> Lawlor anasema kuwa damu inayotumika kwa njia hii inaaminika na watu hawa kuwa inawaunganisha wachezaji na dunia yenye nguvu isiyoonekana ya wakati wa ndoto. Lawlor maeneo haya yenye nguvu zisizoonekana na maeneo ya sumaku, kwa kuwa chuma ina sumaku.
Line 288 ⟶ 284:
 
===Ukristo===
{{main|EucharistEkaristi}}
 
Baadhi ya makanisa ya kikristo, ikiwa ni pamoja na Kanisa la Kikatoliki wa Kirumi, Imani inayokubalika ya Mashariki, [[Waorthodoksi wa Mashariki|Imani inayokubalika ya nchi za mashariki,]] na Kanisa la Asiria la Mashariki hufundisha kwamba, baada ya kutakaswa, divai ya Ekaristi hubadilika na ''kuwa'' damu ya [[Yesu|Yesu.]] Hivyo, katika duvai takatifu, Yesu anakuwa hapo kiroho na kimwili. Mafundisho haya yana misingi yake katika Karamu ya mwisho, kama ilivyoandikwa katika injili nne za [[Biblia ya Kikristo|Biblia,]] ambapo Yesu aliwaambia wanafunzi wake kuwa mkate walioukula ni mwili wake, na divai ilikuwa damu yake. ''"Kikombe hiki ni agano jipya ya damu yangu, inayomwagika kwa ajili yenu." '' ''( {{sourcetext|source=Bible|version=King James|book=Luke |chapter=22|verse=20}} ).''
 
Line 296 ⟶ 291:
Damu ya Kristo pia huonekana kama njia ya upatanisho kwa ajili ya dhambi kwa Wakristo.
 
Katika [[Mtaguso wa Yerusalemu|Baraza la Yerusalemu,]], mitume walipiga marufuku kwa Wakristo kunywa damu, pengine kwa sababu hii ilikuwa ni amri aliyopewa [[Nuhu]] [[Mwanzo (Biblia)|(Mwanzo]] 9:04, tazama [[Sheria ya Nuhu]]). Amri hii iliendelea kufuatwa na Imani inayokubalika ya Mashariki. Kumbe [[wataalamu]] wa [[Biblia ya Kikristo]] wanaonyesha kwamba katazo hilo na mengine matatu yaliyoendana nalo yalitolewa tu ili [[Wakristo wa Kiyahudi]] wasikwazike katika kushirikiana na [[Wakristo wa mataifa]] wasiojisikia kubanwa na masharti yote ya [[Torati]].
 
===Uislamu===
Ulaji wa vyakula vyenye damu ni haramu kulingana na sheria za Kiislamu kuhusu lishe. Hii inatokana na taarifa katika [[Qurani|Kurani,]] Sura Al-Ma'ida (05:03): "Vilivyoharimishiwa (kama chakula) ni: nyama ya mnyama aliyefariki, damu, nyama ya nguruwe, na lolote ambalo limetajiwa juu yake jina la mwingine bali na Allah. "
 
Damu inachukuliwa kama chafu na katika Uislamu, usafi ni sehemu ya imani, hivyo kuna mbinu maalum za kupata hali ya usafi wa kimwili na kitambiko mara tu utokaji damu unapofanyika. Sheria maalum na amri zinahusu hedhi, kutokwa na damu baada ya kuzaa na kutokwa na damu kusio kwa kawaida kwenye uke.
 
===Mashahidi wa Yehova===
{{main|Jehovah'sMashahidi Witnesseswa andYehova bloodna damu}}
 
Kulingana na tafsiri yao ya maandiko kama vile Matendo 15:28, 29 ("Endelea kujitenga ... na damu."), Mashahidi wa Yehova hawali damu wala kukubali kuongezewa damu yote au sehemu kuu za damu: seli nyekundu za damu, chembechembe nyeupe za damu, chembe za kugandisha damu(thrombositi), na plazma. Wanachama wanaweza kujiamulia binafsi ikiwa watakubali taratibu za matibabu zinazohusisha damu yao wenyewe au dutu ambazo zinagawanywa zaidi kutoka kwa sehemu nne kuu.<ref>[71] ^ ''The Watchtower'' Juni 15, 2004, ukurasa wa 22, "Be Guided by the Living God" (Kuongozwa na Mungu aliye hai)</ref>
 
Line 332 ⟶ 326:
 
==Tazama Pia==
* [[Upokeaji wa damu ya mtu binafsi aliyoitoa hapoaliyeitoa mbeleni]]
* [[Damu kama chakula]]
* Damu kama chakula: tazama soseji ya utumbo wa nguruwe na tiết canh (mlo wa damu nchini Vietnam)
* [[Utoaji wa damu]]
* [[Shinikizo la damu]]
* Vibadala vya damu ("[[Damu bandia")]]
* [[Kupima damu]]
* [[Himofobia]] (Kuogopa damu)
* Orodha ya vipengele[[Vipengele vya damu ya binadamu]]
* [[Vyakula na vinywaji mwiko: Damu]]
* Oct-1-en-3-one ("[[Harufu" ya damu)]]
 
==Marejeo ==
Line 349 ⟶ 343:
{{wiktionary}}
{{commonscat|Blood|position=left}}
 
{{blood}}
{{Lymphocytes}}
{{Lymphatic flow}}
{{transfusion_medicine}}
 
[[Category:Damu]]
[[Category:Hematolojia]]
[[Category:Tishu]]
 
 
 
 
 
[[pnb:دل]]