Moyo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Humhrt2.jpg|thumbnail|250px|Moyo wa kibinadamubinadamu baada ya kutolewa kwenye [[maiti]] kwa [[utafiti]] wa kiganga.]]
[[Picha:Love Heart SVG.svg|thumbnail|250px|Moyo kama [[ishara]] ya upendo.]]
[[Picha:Diagram of the human heart (multilingual).svg|thumbnail|250px|Muundo wa moyo wa kibinadamubinadamu
*1 Vena kava ya juu (damu inaingia kutoka mwilini)
*2 ateri ya mapafu (damu inatoka kwenda mapafu)
*3 vena ya mapafu (damu inarudi kutoka mapafu)
*4 Vali mitralia - 5 Vali ya aorta
*6 Ventrikali kushoto - 7 Ventrikali kulia
*8 Atiria kushoto - 9 Atiria kulia
*10 Aorta (damu inatoka kwenda mwilini)
*11 Vali kwa mapafu - 12 Vali triskupidia
*13 Vena kava ya chini (damu inaingia kutoka mwilini)]]

'''Moyo''' ni [[ogani]] ya [[mwili]] inayoendesha [[mzunguko wa damu]] mwilini. Kazi yake ni kama [[pampu]] ya [[damu]]. Hali halisi ni [[misuli]] inayosukuma damu kwenye [[mshipa|mishipa]] kwa njia ya kujikaza.

Mioyo ya [[mamalia]] pamoja na [[binadamu]] huwa na pande mbili. Upande wa kulia unasukuma damu kwenda [[mapafu]] inapopokea [[oksijeni]]; upande wa kushoto unazungusha damu katika sehemu nyingine za mwili pale ambako oksijeni inahitajika.

Moyo ni ogani ya lazima kwa [[uhai]].

== Moyo na utamaduni ==
Katika masimulizi ya mataifa mengi moyo unajadiliwa kama mahali pa [[roho]], [[wazo|mawazo]] au [[hisia]], hasa upendo[[pendo]] na [[chuki]].

Sababu yake ni kwamba [[pigo la moyo]] ni [[dalili]] ya wazi ya uhai na bila pigo la moyo mtu amekufa, kwa hiyo moyo ulitazamiwaulitazamwa kama mahali pa uhai wenyewe pamoja na [[nafsi]] ya mtu.

Siku hizi [[wataalamu]] wanaona moyo ni pampu tu, ni zaidi [[ubongo]] penye mahali pa unafsinafsi waya mtu.

== Muhtasari wa kazi ya moyo ==
''(Namba zinalingazinalingana na mchoro wa moyo)''

Moyo unazungusha damu mwilini.
Mstari 27:
Mbali na kubeba oksijeni damu inapokea pia virutubishi kwenye [[utumbo]] na kuvipeleka seli vinapotakiwa, halafu inapokea pia [[homoni]] kutoka [[tezi]] mbalimbali na kuzisafirisha. Moyo inahakikisha mwendo huu wa damu unaendelea.

== Muundo wa moyo wa kibinadamubinadamu ==
Moyo wetu huwa na pande mbili na kila upande kuna vyumba viwili. Kwa jumla moyo huwa na vyumba vinne. [[Amfibia]] huwa na vyumba vitatu na [[samaki]] na vyumba viwili tu.

Mstari 55:
* [[Mfumo wa mzunguko wa damu]]

==Viungo vya nje==
{{commonscat|heart|Moyo}}