Ugonjwa wa kuambukiza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 5:
 
==Pathojeni kama visababishi==
Pathojeni ni jina lakwa [[bakteria]], [[virusi]] au [[fungi]] zinazoweza kusababisha ugonjwa. Si kila bakteria au fungi inayosababisha ugonjwa, kinyume chake tunaishi kwa kuwa na mamilioni ya bakteria katika utumbo ambazo ni lazima kuwepo kwa afya yetu. [[Vidubini]] hivi vyote ni ni vidogo mno havionekani kwa macho.
 
==Dalili za magonjwa==