Ugonjwa wa kuambukiza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Streptococcus pneumoniae.jpg|300px|thumbnail|Bakteria ya "streptococcus pneumoniae" ni pathojeni inayosababisha kifua kikuu]]
[[Picha:Culexnil.jpg|thumbnail|300px|Wadudu kama mbu huu wanaweza kupeleka pathojeni kutoka mgonjwa mmoja hadi mwingine]]
[[Picha:OCD handwash.jpg|300px|thumbnail|Kunawa mikoni ni njia rahisi ya kuepukana na maambukizo mengi]]
'''Ugonjwa wa kuambukizwa''' ([[ing.]] ''infectious disease'') ni ugonjwa unaosababishwa na [[ambukizo]], yaani kuingia na kuenea kwa [[pathojeni]] kama [[bakteria]], [[virusi]] au [[fungi]] katika mwili. Wanadamu, wanyama na pia mimea wanaweza kuambukizwa na pathojeni hizi.