Ugonjwa wa kuambukiza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Streptococcus pneumoniae.jpg|300px|thumbnail|Bakteria ya "streptococcus pneumoniae" ni pathojeni inayosababisha kifua kikuu.]]
[[Picha:Anopheles gambiae mosquito feeding 1354.p lores.jpg|thumbnail|300px|Wadudu kama mbu huyu wanaweza kupeleka pathojeni kutoka mgonjwa mmoja hadi mwingine.]]
[[Picha:OCD handwash.jpg|300px|thumbnail|Kunawa mikonimikono ni njia rahisi ya kuepukana na maambukizo mengi.]]
'''Ugonjwa wa kuambukizwa''' (kwa [[ing.Kiingereza]] ''infectious disease'') ni [[ugonjwa]] wowote unaosababishwa na [[ambukizo]], yaani kuingia na kuenea kwa [[pathojeni]] kama [[bakteria]], [[virusi]] au [[fungi]] katika [[mwili]]. [[Wanadamu]], [[wanyama]] na pia [[mimea]] wanaweza kuambukizwa na pathojeni hizi.
 
==Njia za maambukizo==
SehemuBaadhi waya magonjwa hayahayo yanaweza kupitishwa na [[mgonjwa]] mmoja kwenda kiumbe[[kiumbehai]] kinginemwingine. Njia yaza kuambukizwa (yaani njia ya kufika kwa pathojeni mwilini) ni nyingi, zikiwa pamoja na kugusana, [[maji]], au [[chakula]], [[damu]] au hata [[hewa|hewani]].
 
==Pathojeni kama visababishi==
Pathojeni ni jina kwa [[bakteria]], [[virusi]] au [[fungi]] zinazoweza kusababisha ugonjwa. Si kila bakteria au fungi inayosababishainasababisha ugonjwa, kinyume chake tunaishi kwa kuwa na [[milioni|mamilioni]] ya bakteria katika [[utumbo]] ambazo ni lazima kuwepo kwa [[afya]] yetu. [[Vidubini]] hivi vyote ni ni vidogo mno, havionekani kwa [[macho]].
 
==Dalili za magonjwa==
Magonjwa ya kuambukizwa huwa na [[dalili]] tofauti sana. Mara nyingi dalili za ugonjwa hutegemeana na pathojeni iliyosababisha ugonjwa. Dalili zinaweza kuonekana siku chache baada ya kuambukizwa au kuendelea polepole katika kipindi cha [[wiki]], miezi hata miaka.
 
==Kingamwili na maambukizo==
Kwa kawaida mgonjwa anapona mwenyewe na [[Mfumo wa kingamaradhi|mfumo wa kinga mwilini]] unajifunza kupambana na pathojeni husika. Kama inarudi mwili unaijua tayari, hivyo si kawaida mtu kugonjeka mara mbili na ambukizo lilelile.
 
Kwa mtu mwenye [[kingamwili]] kizurinzuri maambukizo yanaweza kupita kwa kuonyesha dalili chache tu au hata bila dalili yoyote. Kwa watu wengine dalili za ugonjwa yanawezazinaweza kuwa nzito mno na kuhatarisha maisha.
 
SwaliSuala muhimimuhimu ni uwezo wa mfumo wa kinga kutambua na kuondoa kisababaishi cha ugonjwa yaani pathojeni. Leo hii [[sayansi ya tiba]] imekuta [[madawa]] dhidi ya pathojeni kama vile [[antibiotika]] dhidi ya bakteria, [[antimykotika]] dhidi ya fungi na [[virostatika]] dhidi ya virusi.
 
Kuna pia uwezekano wa kupiga [[chanjo]] dhidi ya virusi kadhaa. Lakini magonjwa ya kuambukizwa mengine hayana [[tiba]] hadi leo na magonjwa mapya yanaweza kutokea.
 
== Makadirio ya vifo duniani kutokana na magonjwa ya kuambukizwa kufuatana na [[WHO]] ==
Mstari 29:
|-
|Magonjwa ya njia za pumzi
|milioni 3.9 Millionen
|-
|[[UKIMWI]]
Mstari 66:
|}
 
{{mbegu-tiba}}
 
[[Jamii:Tiba]]
[[jamii:Magonjwa]]
[[Jamii:Maradhi ya kuambukiza]]