Uraibu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Uraibu''' (ing. ''addiction'') inapatikana wakati roho au mwili inataka mno kuwa na hisia fulani na kukwama katika utekelezaji wa shughuli kabla ya kufik...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 23:00, 23 Februari 2016

Uraibu (ing. addiction) inapatikana wakati roho au mwili inataka mno kuwa na hisia fulani na kukwama katika utekelezaji wa shughuli kabla ya kufikia hisia hiyo.

Hisia za aina hii zinaweza kupatikana kutokana

  • kusikia matokeo ya kuingiza pombe au dawa fulani kwenye mwili
  • kusikia matokeo ya kuvuta sigara, bangi au madawa mengine
  • kujishughulisha na michezo ya kompyuta, michezo ya fedha, simu ya mobile, kutazama televisheni n.k.
  • au matendo ya kurudia mengine ambayo yanaweza kuwa tofauti sana kama vile kununua vitu au kuiba

Uraibu hutazamiwa kama hali ya ugonjwa. Katika jamii inaeleweka kwa kawaida kama uraibu wa dawa yaani dutu zinazomfanya mtu kurudia matumizi hata kama inaharibu afya, hali yake katika jamii na hata kuvunja sheria. Hapo ni hasa dawa za kulevya zinazojulikana zinaunda uraibu.

Lakini matumizi ya kiraibu ya dawa inakuja pamoja na hali ya kiroho iliyofanana kabisa na hali ya uraibu wa vitu au matendop mengine.

Tovuti za Nje