Ugonjwa wa kuambukiza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Ugonjwa wa kuambukizwa hadi Ugonjwa wa kuambukiza
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Anopheles gambiae mosquito feeding 1354.p lores.jpg|thumbnail|300px|Wadudu kama mbu huyu wanaweza kupeleka pathojeni kutoka mgonjwa mmoja hadi mwingine.]]
[[Picha:OCD handwash.jpg|300px|thumbnail|Kunawa mikono ni njia rahisi ya kuepukana na maambukizo mengi.]]
'''Ugonjwa wa kuambukizwakuambukiza''' (kwa [[Kiingereza]] ''infectious disease'') ni [[ugonjwa]] wowote unaosababishwa na [[ambukizo]], yaani kuingia na kuenea kwa [[pathojeni]] kama [[bakteria]], [[virusi]] au [[fungi]] katika [[mwili]]. [[Wanadamu]], [[wanyama]] na pia [[mimea]] wanaweza kuambukizwa na pathojeni hizi.
 
==Njia za maambukizo==