Mfumo wa kingamaradhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|250px|[[Picha iliyopigwa kwa hadubini ikionyesha neutrofili (njano) ikimeza bakteria...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Neutrophil with anthrax copy.jpg|thumb|right|250px|[[Picha]] iliyopigwa kwa [[hadubini]] ikionyesha [[neutrofili]] ([[manjano|njano]]) ikimeza bakteria ya [[Anthrax]] ([[nyekundu]]).]]
[[File:Ilya Mechnikov nobel.jpg|thumb|right|230px|[[Ilya Mechnikov]], mmojawapo kati ya waanzilishi wa [[imunolojia]].]]
'''Mfumo wa kingamaradhi''' ([[ing.]] ''immune system'') ni seti ya [[tishu]] za mwili zinazofanya kazi pamoja ili kukwepa [[ugonjwa]].
 
Mfumo huo unasaidia [[kiumbehai]] kutambua na kuzuia [[hatari]] kutoka nje kwa [[afya]] yake, kama vile [[virusi]], [[bakteria]] na [[kidusia|vidusia]] mbalimbali.<ref name=Janeway>Janeway C.A ''et al'' 2001. Basic concepts in immunology, Chapter 1 in ''Immunobiology'', 5th ed, New York: Garland Science. ISBN 978-0-8153-4101-7</ref>