Tofauti kati ya marekesbisho "Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo"

no edit summary
Chanzo chake ni [http://meta.wikimedia.org/wiki/List_of_Wikipedias_by_sample_of_articles/Absent_Articles#sw_Kiswahili Makala zisizoonekana kati ya 1000 za msingi - Absent_Articles#sw_Kiswahili].
 
'''Kila mwanawikipedia anaombwa
'''Kila mwanawikipedia anaombwa **kuanzisha makala kwa Kiswahili au kuitafsiri. Kubofya jina nyekundu upande wa kulia itaanzisha makala mpya kwa Kiswahili. Kama ni makla ya jina unaweza kuanza mara moja. Kama ni bado jina la Kiingereza uitafsiri kwanza kabla ya kuanza.'''
**Kuboresha michango katika orodha ya "makala 1000" kwa kuiongeza matini maana mengine bado ni fupi sana
'''
 
Tahadhari: wakati mwingine roboti zinazolinganisha wikipedia mbalimbali zinaweza kukosa. kwa mfano hawakutambua makala ya "[[Brussels]]" katika wikipedoa yetu na kuiandika katika orodha hii - lakini makala iko. Yeyote anayetambua kosa la aina hii anaweza kuisahihisha kwa kuingiza kwa mkono makala husika ya wikipedia ya Kiswahili.