Çorum : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q206900 (translate me)
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Lion Gate, Hattusa.liongate 01.jpg|thumb|right|300px|Mageti ya Simba yaliyokaribuni na mji wa Çorum.]]
'''Çorum''' ni mji uliopo kaskazini mwa [[Anatolia]] ambao ndiyo mji mkuu wa [[Mkoa wa Çorum]] katika [[Uturuki]]. Mji wa Çorum upo katika ardhi ya kati ya [[Bahari Nyeusi]] ya Uturuki, takriban km 244 kutoka mji wa [[Ankara]] na 608 kutoka mjini [[Istanbul]]. Mji una futi za maporomoko zipatayo 801 kutoka [[UB]], eneo la tambarare ni 12,820&nbsp;km² (4950&nbsp;mi²), na kwa sensa ya mwaka wa 2004, idadi ya wakazi imefikia 178,500.<ref>[http://www.corum.gov.tr/corumweb/giris.asp Introduction to Çorum]</ref>