Uyoga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 59 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q83093 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
''<sup>Kwa kundi la muziki nchini Kenya tazama [[Uyoga (bendi)]]</sup>''
[[Image:Mushroom 02.jpg|thumb|right|Uyoga]]
'''Uyoga''' ni sehemu ya [[kuvu]] inayotokea juu ya [[ardhi]] na kukuza [[vibufu]] vinavyofanana na [[mbegu]] ya [[mimea]]. Uyoga mara nyingi huitwa [[mimea]] lakini si mimea, ni sehemu ndogo ya kuvu au fungi.
 
'''Uyoga''' ni sehemu ya [[kuvu]] inayotokea juu ya ardhi na kukuza [[vibufu]] vinavyofanana na mbegu ya [[mimea]]. Uyoga mara nyingi huitwa mimea lakini si mimea ni sehemu ndogo ya kuvu au fungi.
 
Kazi ya uyoga kwa fungi yake ni kama [[matunda]] kwa mmea yaani ni kusaidia kuzaa na kusambaza.
 
Uyoga ni tu sehemu ndogo tu ya fungi yote inayoendelea kama [[miseli]] ndani ya ardhi kwa [[mita]] nyingi.
 
Uyoga si fungi mwenyewe bali kitu kama tunda lake. Unajengwa na nyuzi nyingi za kungunyanzi na kuwa mahali pa kukuza vibufu ambavyo ni kama mbegu wa fungi.
 
Uyoga si fungi mwenyeweyenyewe bali kitu kama tunda lake. Unajengwa na nyuzi nyingi za kungunyanzi na kuwa mahali pa kukuza vibufu ambavyo ni kama mbegu wa fungi.
 
==Uyoga kama chakula==
Uyoga ni maarufu kama [[chakula]], lakini ni chakula kinachohitaji uangalifu na [[utaalamu]]. Zinapikwa, kukaangwa na aina kadhaa pia huunganishwa bichi katika [[saladi]].
 
Uyoga huwa na [[protini]] nyingi pamoja na [[madini]] na [[vitamini]] ndani yake. Kwa hiyo ni chakula bora.
 
Kwa upande mwingine kuna uyoga za [[sumu]] zinazofanana na uyoga za kuliwa, nalakini sumu yake ni kali inawezakiasi cha kuweza kuua.
 
==Uchumi==
Uyoga huvunwa pale zinapokua. Hizi zinauzwa [[barabara|barabarani]] au [[soko|sokoni]].
 
Aina kadhaa zinalimwa kibiashara (kwa mfano [[champignon]]) zinalimwa [[Biashara|kibiashara]] na kuuzwa kwenye maduka makubwa. Ni aina zinazofaa kutunzwa katika [[friji]] kwa siku kadhaa.
 
{{mbegu-biolojia}}
 
[[category:VyakulaChakula]]
[[Category:Fungi]]