Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 104:
 
==Utawala==
[[Muundo]] wa [[uongozi]] na [[utawala]] katika kipindi cha [[ukoloni]] ulizingatia mgawanyo wa [[madaraka]] baina ya mihimili mitatu ya [[dola]] yaani utawala, [[bunge]] na [[mahakama]].
Mgawanyo wa kiutawala wa Tanzania unafuata Katiba ya nchi I 2.2. Tanzania imegawiwa kwa mikoa 30. Kila [[mkoa]] huwa na [[wilaya]] ndani yake. Jumla ya wilaya ni 169, ambazo kati yake 34 ni miji.
 
Mgawanyo huu umeainishwa katika [[katiba]] ya [[Jamhuri ya Muungano wa Tanzania]] Ibara ya 4(1).
 
Tangu [[uhuru]], mgawanyo wa madaraka na uhusiano miongoni mwa mihimili hiyo uliimarishwa ipasavyo kwa kuzingatia wakati, mahitaji ya [[demokrasia]] na misingi ya [[utawala bora]].
 
Mgawanyo wa kiutawala wa Tanzania unafuata Katiba ya nchi I 2.2. Tanzania imegawiwa kwa mikoa 3031. Kila [[mkoa]] huwa na [[wilaya]] ndani yake. Jumla ya wilaya ni 169, ambazo kati yake 34 ni miji.
 
Ndani ya wilaya kuna ngazi za [[tarafa]] (division) na [[kata]] (ward).