Tofauti kati ya marekesbisho "Waiksosi"

204 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Waiksosi''' (kutoka Kimisri "heqa khaseshet", "watawala wa kigeni"; kupitia Kigiriki Ὑκσώς, Ὑξώς, Yuksos) walikuwa watu mchanganyiko kuto...')
 
[[File:ibscha.jpg|thumb|200px|right|Waasia wa kwanza walivyochorwa wakiingia MIsri mnamo [[1900 KK]]: kutoka [[kaburi]] la [[Khnumhotep II]], [[afisa]] wa [[Farao]] [[Senusret II]] huko [[Beni Hasan]].]]
'''Waiksosi''' (kutoka [[Kimisri]] "heqa khaseshet", "watawala wa kigeni"; kupitia [[Kigiriki]] Ὑκσώς, Ὑξώς, Yuksos) walikuwa watu mchanganyiko kutoka [[Asia Magharibi]],<ref name=EB_Hyksos>{{cite web |url= http://www.britannica.com/EBchecked/topic/279251/Hyksos#ref756992 |title= Hyksos (Egyptian dynasty) |author= |date= |work= [[Encyclopædia Britannica Online]] |publisher= [[Encyclopædia Britannica, Inc.]] |accessdate= 8 September 2012}}</ref> waliohamia [[mashariki]] mwa [[Delta la Nile]] kabla ya [[mwaka]] [[1650 KK]]. Ujio wao ulikomesha [[nasaba ya kumi na tatu ya Misri]] na kuanzisha [[Kipindi cha kati cha pili]].<ref>Redford D., ''Egypt, Canaan and Israel in ancient times'', 1992</ref>