Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 221:
 
===Makabila===
Jamii nyingi za watu zimeishi na kushirikiana katika eneo la Tanzania bara kwa [[milenia]] nyingi.
 
Baadhi ya jamii hizi zilikuja kutoka maeneo mengine ya Afrika.
 
Nyingi katika jamii zilizohamia sehemu hii ziliingia katika makundi madogomadogo kwa amani, ingawa ziko zilizoingia kwa njia ya uvamizi na vita.
 
Baadhi ya jamii zilizovamiwa zilipigana na kuwazuia wahamiaji wasiendelee kuteka maeneo mengine, kufikia mwaka [[1884]], wakati Wajerumani walipoanza harakati za kufanya sehemu hii ya Afrika kuwa [[koloni]] lao, kulikuwa na makabila zaidi ya 120 katika eneo la Tanzania bara.
 
Kuna [[Orodha ya makabila ya Tanzania|makabila 125 hivi]]. Ma[[kabila]] yenye watu zaidi ya [[milioni]] moja ni [[Wasukuma]], [[Wanyamwezi]], [[Wachaga]], [[Waha]], [[Wagogo]], [[Wahaya]], [[Wajaluo]] na [[Wamakonde]].
 
TanzaniaJambo ni nchila pekee yakuhusu Afrikajamii ambamozilizoishi na zinazoendelea kuishi Tanzania ni kwamba wakazi asili wanawakilisha makundi makuu yote yamakuu manne makabila(4) ya [[Kusinilugha kwabarani Sahara]]Afrika.
 
Idadi kubwa sana ya Watanzania ni wa jamii ya [[Wabantu]] (k.m. Wazaramo, Wagogo, Wasukuma, Wahaya, Wachaga, Wapare na Wapogoro).
 
Nje ya hao, kuna [[Waniloti]], kwa mfano [[Wamasai]] na [[Wajaluo]] ambao wengi wao zaidi wanaishi [[Kenya]].