Lugha za Afrika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Aliulinda "Lugha za Afrika" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
Mstari 8:
Vikundi vikubwa vya lugha za Kiafrika ni hasa:
* [[Lugha za Kiafrika-Kiasia]] - lugha 350 zenye wasemaji milioni 350 katika [[Afrika ya Kaskazini]] na [[Asia ya Magharibi]], hasa [[Kiarabu]] na [[Kiamhara]]
* [[Lugha za Kikongo-Kiniger-Kongo]] - lugha 1,400 zenye wasemaji milioni 370 katika [[Afrika ya Magharibi]], [[Afrika ya Mashariki|mashariki]] na [[Afrika ya Kusini|kusini]] Hizi ni pamoja na [[lugha za Kibantu]] kama [[Kiswahili]].
* [[Lugha za Kisudani]] (Nilo-Sahara) - lugha 200 zenye wasemaji milioni 35 kati ya [[Sudani]] hadi [[Mali]] na [[Tanzania]]. Kati yake kuna [[Kijaluo]] na [[Kimaasai]].
* [[Lugha za Khoisan]] - lugha 28 zenye wasemaji 355,000 katika [[Afrika ya Kusini]] na [[Tanzania]]. Wataalamu wanaelekea kuziona kuwa ndizo lugha zinazofanana zaidi na ile ya asili ya [[binadamu]]. Kati yake ipo lugha ya [[Wasandawe]] wa Tanzania.