Latitudo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d nimeongeza latitudo muhimu
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:WorldMapLongLat-eq-circles-tropics-non.png|thumb|300px|[[Ramani]] ya [[dunia]] inayoonyesha mistari ya [[longitudo]] na latitudo.]]
'''Latitudo''' ''(kwa [[Kilatini]]: latitudo)'' ni mahala pa mchoro wa dunia au ramani huonyesha kwa mistari iliolazwa ni njia ya kuonyesha mahali duniani kwa kutaja [[umbali]] wake kutoka [[ikweta]] kwa kipimo cha [[digrii]] ('''°''').
 
'''Latitudo''' ''([[kilatini]]: latitudo)'' ni mahala pa mchoro wa dunia au ramani huonyesha kwa mistari iliolalzwa ni njia ya kuonyesha mahali duniani kwa kutaja umbali wake kutoka [[ikweta]] kwa kipimo cha digrii ('''°'''). Mahali kwenyepenye ikweta kamili (kwa mfano [[Nanyuki]] katika [[Kenya]]) ina latitudo ya "0". Mahali pa mbali ni [[ncha ya kaskazini]] au [[ncha ya kusini|ya kusini]] zinazotajwa kwa 90°. Pamoja na kipimo cha [[longitudo]] inataja mahali kamili duniani.
 
Latitudo za kaskazini na kusini ya ikweta zinatofautishwa ama kwa kuongeza herufi "N" (=north) na "S" (south) au kwa alama za "+" (kaskazini) na "-" (kusini).
 
Digrii za latitudo hugawiwa katika umbali wa 60 [[dakika]] au minuti; dakika ya latitudo ni [[mita]] 1852 au [[maili]] moja ya kibahari. Dakika hugawiwa katika [[nukta]] au sekondi. Mfano: 13°19.717′ N.
 
Pia kuna latitudoLatitudo muhimu kama;ni:
 
1. Ikweta (0°)
 
2. [[Tropiki ya kansa]] (23½°Kas)
 
3. [[Tropiki ya kaprikoni]] (23½°Kus)
 
4. [[Duara la aktiki]] (66½°Kas)
 
5. [[Duara la antaktika]] (66½°Kus)
 
Pamoja na namba ya [[longitudo]] inaonyesha mahali pakamilifukamili kwenye uso wa dunia.
 
[[Jamii:Jiografia]]