Vwawa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d fixing dead links
vwawa home of intellectuals
Mstari 31:
 
nini asili ya jina la vwawa je ni mtemi au mlima yani maanayake haswa ni nini
 
Vwawa ni makao makuu ya wilaya ya mbozi. mji huu unapatikana nyanda za juu kusini mkoa wa songwe zamani Mbeya.Mji huu Upo kando ya barabara kuu iendayo Zambia,malawi kupitia ileje na mkoa wa rukwa. mji huu una wenyeji ambao ni wanyiha, wandali na wanyamwanga. lakini pia makabila mengine ambayo sio asili ya wilaya ya mbozi.Mji huu una mitaa yake ambayo ni ilolo,mwenge,ilembo,mtambwe,jim road,isangu,ichenjezya,mbugani na vwawa day. Mji huu ni mji umetoa wasomi wengi sana ambao ni chachu ya maendeleo kwa nchi yetu ya Tanzania.