Vwawa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
vwawa home of intellectuals
No edit summary
Mstari 19:
}}
 
'''Vwawa''' ni [[jina]] la [[kata]] ya [[Wilaya ya Mbozi]] katika [[Mkoa wa MbeyaSongwe]], [[Tanzania]].

Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika mwaka wa [[2002]], kata ina wakazi wapatao 37,844 waishio humo. <ref>{{cite web|url=http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/mbozi.htm|title=Repoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002|publisher=Serikali ya [[Tanzania]]|language=en|accessdate=|archiveurl=http://web.archive.org/web/20040320093915/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/mbozi.htm|archivedate=2004-03-20}}</ref>
 
Asili ya jina la Vwawa ni mtemi au mlima.
 
Vwawa ni [[makao makuu]] ya [[wilaya]] ya Mbozi. [[Mji]] huo unapatikana [[nyanda za juu kusini]] [[mkoa]] mpya wa Songwe, zamani Mbeya.
 
Mji huu uko kando ya [[barabara]] kuu iendayo [[Zambia]], [[Malawi]] kupitia [[wilaya ya Ileje]] na [[mkoa wa Rukwa]].
 
Mji huu una wenyeji ambao ni [[Wanyiha]], [[Wandali]] na [[Wanyamwanga]], lakini pia ma[[kabila]] mengine ambayo si asili katika wilaya ya Mbozi.
 
Mji huu una mitaa yake ambayo ni Ilolo, Mwenge, Ilembo, Mtambwe, Jim road, Isangu, Ichenjezya, Mbugani na Vwawa day.
 
Mji huu umetoa wasomi wengi sana ambao ni [[chachu]] ya [[maendeleo]] kwa nchi ya Tanzania.
 
==Marejeo==
{{marejeo}}
 
{{Kata za Wilaya ya Mbozi}}
{{mbegu-jio-mbeyasongwe}}
 
[[Jamii:Mkoa wa MbeyaSongwe]]
{{mbegu-jio-mbeya}}
 
[[Jamii:Mkoa wa Mbeya]]
[[Jamii:Wilaya ya Mbozi]]
 
nini asili ya jina la vwawa je ni mtemi au mlima yani maanayake haswa ni nini
 
Vwawa ni makao makuu ya wilaya ya mbozi. mji huu unapatikana nyanda za juu kusini mkoa wa songwe zamani Mbeya.Mji huu Upo kando ya barabara kuu iendayo Zambia,malawi kupitia ileje na mkoa wa rukwa. mji huu una wenyeji ambao ni wanyiha, wandali na wanyamwanga. lakini pia makabila mengine ambayo sio asili ya wilaya ya mbozi.Mji huu una mitaa yake ambayo ni ilolo,mwenge,ilembo,mtambwe,jim road,isangu,ichenjezya,mbugani na vwawa day. Mji huu ni mji umetoa wasomi wengi sana ambao ni chachu ya maendeleo kwa nchi yetu ya Tanzania.