9 Machi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{Machi}}
Tarehe '''9 Machi''' ni [[sikukuu]] ya [[Mtakatifu]] [[Fransiska wa Roma]].
 
== Matukio ==
* [[1513]] - [[Uchaguzi]] wa [[Papa Leo X]]
 
== Waliozaliwa ==
* [[1451]] - [[Amerigo Vespucci]], mpelelezi kutoka [[Hispania]]
* [[1568]] - Mtakatifu [[Aloysius Gonzaga]], [[mtawa]] kutoka [[Italia]]
* [[1923]] - [[Walter Kohn]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1998]]
* [[1930]] - [[Ornette Coleman]], [[mwanamuziki]] kutoka [[Marekani]]
* [[1934]] - [[Yuri Gagarin]], (rubani [[Urusi|Mrusi]] na mtu wa kwanza aliyefika katika [[anga la nje)]]
 
== Waliofariki ==
* [[1440]] - [[Fransiska wa Roma]], mtawa mtakatifu kutoka [[Italia]]
* [[1888]] - [[Kaisari Wilhelm I]], [[mfalme]] wa [[Prussia]] na [[Kaisari]] wa [[Ujerumani]]
* [[1974]] - [[Earl Sutherland]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1971]])
* [[1981]] - [[Max Delbruck]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1969]]
* [[1983]] - [[Ulf von Euler]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1970]]
* [[1988]] - [[Kurt Georg Kiesinger]], [[Chansela]] wa [[Ujerumani]] ([[1966]]-1969)
* [[1997]] - [[The Notorious B.I.G.]], mwanamuziki kutoka [[Marekani]]