15 Machi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
 
== Waliozaliwa ==
* [[1760]] - [[Mtakatifu]] [[Yohane wa Triora]], [[padre]] [[Mfransisko]], [[mmisionari]] na [[mfiadini]] nchini [[Uchina]]
* [[1767]] - [[Andrew Jackson]], [[Rais]] wa [[Marekani]] [[1829]]-37[[1837]]
* [[1830]] - [[Paul Heyse]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa [[1910]])
* [[1831]] - Mtakatifu [[Daniele Comboni]], [[mmisionari]] na [[askofu]] [[Mkatoliki]] nchini [[Sudan]]
* [[1854]] - [[Emil von Behring]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]], mwaka wa [[1901]])
* [[1920]] - [[Donnall Thomas]], [[daktari]] kutoka [[Marekani]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]], mwaka wa [[1990]]
* [[1946]] - [[Hezekiah Ndahani Chibulunje]], [[mwanasiasa]] wa [[Tanzania]]
* [[1952]] - [[Willy Puchner]], [[msanii]] kutoka [[Austria]]
* [[1975]] - [[Eva Longoria]], [[mwigizaji]] wa [[filamu]] kutoka [[Marekani]]
 
== Waliofariki ==
* [[44 KK]] - [[Julius Caesar]] auawa kwenye [[bunge]] la [[Senati]] mjini [[Roma]]
* [[1962]] - [[Arthur Holly Compton]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1927]]
* [[2004]] - [[John Pople]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1998]]
* [[2011]] - [[Nate Dogg]], [[mwanamuziki]] kutoka [[Marekani]]
 
[[Jamii:Machi]]