Korintho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
kiungo shingo ya nchi
Mstari 1:
[[Picha:Corinth map.png|thumb|150px|Mahali pa Korintho]]
'''Korintho''' ([[Kigir.]]: '''Κόρινθος''' ''Kórinthos'') ni mji wa [[Ugiriki]] ya Kusini. Iko kwenye [[shingo laya nchi]] laya Korinth linalounganisha rasi ya [[Peloponesi]] na Ugiriki bara.
 
Siku hizi ni mji mdogo tu mwenye wakazi 36,555 lakini ina historia kubwa na ndefu. Kimataifa Korintho inajulikana kutokana na [[mfereji wa Korintho]] unaokata shingo la nchi kwa urefu wa kilomita sita na kufupisha safari kutoka [[Adria]] kuingia [[Mediteranea]] ya mashariki kwa meli ndogo na za wastani.