27 Machi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
 
== Waliozaliwa ==
* [[1416]] - [[Mtakatifu]] [[Fransisko wa Paola]], [[mtawa mtakatifu]] kutoka [[Italia]]
* [[1650]] - [[Charlotte Amalie wa Hesse-Cassel|Charlotte Amalie]], [[malkia]] wa [[Denmark]]
* [[1845]] - [[Wilhelm Conrad Röntgen]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1901]])
* [[1847]] - [[Otto Wallach]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1910]])
* [[1941]] - [[Ivan Gašparovič]], [[Rais]] wa [[Slovakia]] ([[2004]]-[[2014]])
* [[1970]] - [[Mariah Carey]], [[mwanamuziki]] wa [[Marekani]]
 
== Waliofariki ==
* [[1191]] - [[Papa Klementi III]]
* [[1378]] - [[Papa Gregori XI]], ma mwisho kutoka [[Ufaransa]]
* [[1714]] - [[Charlotte Amalie wa Hesse-Cassel|Charlotte Amalie]], malkia wa [[Denmark]]
* [[1967]] - [[Jaroslav Heyrovsky]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1959]])
* [[1968]] - [[Yuri Gagarin]], (rubani [[Urusi|Mrusi]] na mtu wa kwanza aliyefika katika [[anga la nje)]]
 
[[Jamii:Machi]]