Fizikia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
maelezo ya picha
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Magnet 4.jpg|thumb|250px|right|[[Sumaku]] ikielea juu ya [[Upitishoumeme kuu|kipitishiumeme kikuu]] kuonyesha [[Ifekti ya Meissner]].]]
'''Fizikia''' (kutoka [[neno]] la [[Kigiriki]] φυσικός, ''physikos'', "maumbileya kimaumbile", ambalo tena linatokana na φύσις, ''physis'', "kiumboumbile") ni [[fani]] ya [[sayansi]] inayohusu [[kiumbo|maumbile]] ya [[Dunia]], hususan [[asili]] ya viungoviumbe vya [[ulimwengu]].
 
Ni [[taaluma]] kutoka [[shina]] la [[sayansi]] yenye kushughulika na [[maada]] na uhusiano wake na [[nishati]].
 
Fizikia imetoa mchango mkubwa katika sayansi, [[teknolojia]] na [[falsafa]].
 
== Utangulizi ==
Tangu zama za nyuma kabisa, [[wanafalsafa ya asili]] walijaribu kueleza ma[[fumbo]] kama vile mienendo ya [[sayari]] na asili ya maada. Mlengo huu ulijulikana hapo mwanzo kama ''Fizikisi'' (''kut.''kutoka eng.,[[Kiingereza]] ''Physics'', ikiandikwa Physike kuiga [[dhana]] ya [[Aristotle]]).
 
Kuibuka kwa Fizikia kama [[tawi]] la sayansi lenye kujitegemea toka kwenye [[shina]] la [[falsafa asilia]], kulitokana na [[mapinduzi ya kisayansi]] ya [[karne ya 16]] na [[karne ya 17|ya 17]] na kuendelea mpaka pambazuko la [[Sayansisayansi ya Kisasa]], mwanzoni mwa [[karne ya 20]].
Tangu zama za nyuma kabisa, [[wanafalsafa ya asili]] walijaribu kueleza ma[[fumbo]] kama vile mienendo ya [[sayari]] na asili ya maada. Mlengo huu ulijulikana hapo mwanzo kama ''Fizikisi'' (''kut.'' eng., ''Physics'', ikiandikwa Physike kuiga [[dhana]] ya [[Aristotle]]).
 
NyanjaFani hii imekuwa ikiendelea kutanuka kulingana na kukua kwa tafiti na kupelekea gunduzi mbalimbali kama vile: [[modeli sahili ya chembe za kimsingi]] na uelezi uliotanuka wa [[historia]] ya ulimwengu, sambamba na [[mapinduzi]] ya [[teknolojia]] mpya kama [[silaha za kinyuklia]] na [[semikonda]].
Kuibuka kwa Fizikia kama [[tawi]] la sayansi lenye kujitegemea toka kwenye shina la [[falsafa asilia]], kulitokana na [[mapinduzi ya kisayansi]] ya [[karne ya 16]] na [[karne ya 17|ya 17]] na kuendelea mpaka pambazuko la [[Sayansi ya Kisasa]], mwanzoni mwa [[karne ya 20]].
 
Leo hii [[utafiti]] unaendelea katika mikondo mipana ya kimata; kuhusisha [[mpitishoumemkuu]] katika [[joto]] la hali ya juu, [[Ukototiajiukototiaji wa Kikwantumu]], utafutaji wa [[Higg Boson]], na [[jitahada]] za kuendeleza [[Nadharianadharia]] ya [[Mtuazimtuazi wa Kikwantumu]]. UliokitwaUlikitwa katika mitazamo na vitendo, na pia [[seti]] zilizojisheheneza kwa nadharia zinazodhihirishwa kwa [[Hisabatihisabati]] nzuri,. Fizikia imetoa mchango mkubwa katika sayansi, teknolojia na [[falsafa]].
Nyanja hii imekuwa ikiendelea kutanuka kulingana na kukua kwa tafiti na kupelekea gunduzi mbalimbali kama vile: [[modeli sahili ya chembe za kimsingi]] na uelezi uliotanuka wa [[historia]] ya ulimwengu, sambamba na [[mapinduzi]] ya [[teknolojia]] mpya kama [[silaha za kinyuklia]] na [[semikonda]].
 
[[Ugunduzi]] katika sayansi umegusa kote ndani ya [[Sayansi Asilia]], na Fizikia inaelezwa kama ''Sayansi ya Msingi'' kwa sababu nyanja nyingine kama [[Kemia]] na [[Biolojia]] huchunguza mifumo ambayo [[tabia]] zake husimama kwenye kanuni za Fizikia.
Leo hii [[utafiti]] unaendelea katika mikondo mipana ya kimata; kuhusisha [[mpitishoumemkuu]] katika [[joto]] la hali ya juu, [[Ukototiaji wa Kikwantumu]], utafutaji wa [[Higg Boson]], na [[jitahada]] za kuendeleza [[Nadharia]] ya [[Mtuazi wa Kikwantumu]]. Uliokitwa katika mitazamo na vitendo, na pia [[seti]] zilizojisheheneza kwa nadharia zinazodhihirishwa kwa [[Hisabati]] nzuri, Fizikia imetoa mchango mkubwa katika sayansi, teknolojia na [[falsafa]].
 
[[Ugunduzi]] katika Sayansi umegusa kote ndani ya [[Sayansi Asilia]], na Fizikia inaelezwa kama ''Sayansi ya Msingi'' kwa sababu nyanja zingine kama [[Kemia]] na [[Biolojia]], huchunguza mifumo ambayo [[tabia]] zake husimama kwenye kanuni za Fizikia. Kemia, kwa mfano, ni sayansi ya [[dutu]] iliyofanyika na [[atomu]] na [[molekyulimolekuli]] kwa wingi mmoja, lakini tabia za [[kampaundi]] za kikemia zinatathminiwa kwa tabia za kimaumbile za molekyulimolekuli zinazochipukia kwayo.
 
Fizikia ya vitendo inahusiana kwa karibu na [[Uhandisiuhandisi]] na [[Tekinolojia]]teknolojia. [[Mwanafizikia]] anayejihusisha na msingi wa utafiti hufanya [[muundopicha]] na kisha kufanya vitendo kwa kutumia [[vyombotekichi]] kama [[kikazanishio mwendo wa chembe]] na [[Biru]], na angali mwanafizikia anayejihusisha na [[tafiti zilizotendewa kazi]], huvumbua tekinolojiateknolojia kama vile [[Upigaji Picha Kiusumaku Mtetemiazi]] (kwa Kiingereza MRI, ''Magnetic Resonance Imaging'') na [[tranzistatransista]] za sifa mbalimbali.
 
Fizikia ya kinadharia ina uhusiano wa karibu na hisabati, ambayo huipa [[lugha]] ya nadharia za kimaumbile. Aghalabu ni kweli kwamba shauri la kwanza la Nadharia ni kupembua mahusiano katika sura ya kiulimwengu inayoshahibianainayoshabihiana na yatendekayo. Kazi nyingine ya umuhimu sawa ni kufanyiza kanuni za mahusiano kimahesabu.
 
Matumizi ya hisabati katika nadharia huwakilisha dhana ya kimawazo, katika [[mchakato]] wa kuibua hitimisho muhimu kutoka kwenye hali ya [[Udhanifuudhanifu]] uliopitia [[sheria]] rasmi za [[ukokotoaji]].
 
Hata hivyo, nafasi ya hisabati katika nyanja yaza Fizikia ya Kinadharia inapelekea kwamba, si [[tatizo]] la mwanafizikia ya kinadharia kuchetua kidhibitihakikivukidhibiti hakikivu cha kihesabu na, kwa kweli kabisa;, mahitaji yaliyokaza sana kwenye hesabu mara nyingi hupingana na kweli za kimaumbile.
 
Mwanafizikia ya Kinadharia mara nyingi vilevile huegamia katika [[ufuatiliaji]] [[tathmini]] wa [[Namba|kinamba]] na [[uchocheaji]] picha wa [[kompyuta]] na hivyo kuona matokeo yake; na ndiyo maana [[kompyuta]] na kuprogramu kompyuta vimekuwa na [[uwanda]] mpana wenye sura mbalimbali katika kufanya [[modeli]] za kimaumbile.
 
Kwa kweli, nyanja ya Hisabati na Ufuatiliaji tathmini kikompyuta ni uwanja uliochangamka katika utafiti.
Line 33 ⟶ 36:
[[Picha:HAtomOrbitals.png|thumb|right|250px|[[Atomu]] za [[haidrojeni]] chache za kwanza [[obiti za elektroni]] zilizooneshwa kwa sura ya mkatizo zikiwa zimetiwa [[rangi]] alama [[Kimamlima cha uwezekanivu|densiti ya uwezekanivu]].]]
 
Ingawaje mwanafizikia husoma aina mbalimbali za mafumbo ya maisha, kuna baadhi ya nadharia zinazotumika kwa wanafizikia wote. Kila moja kati ya hizi nadharia imejaribiwa kwa [[idadi]] ya vitendo na kuhakikishwa ma[[kadirio]] sahihi ya asili iliyopo ndani ya mizingo yenye kubadilika umakini. Kwa mfano, nadharia ya utafiti.
utafiti.
 
==Historia==
[[Astronomia]] inatajwa kama sayansi ya kale zaidi, ambapo [[jamii]] zilizokuwa [[ustaarabu|zimestaarabika]] zamani, kama [[Wasumeri]], [[Misri ya Kale|Wamisri wa kale]] na jamii kuzunguka uwanda wa [[mto]] [[Indus]], takriban miaka [[3000 KK]] zilikuazilikuwa na [[uelewa]] juu ya [[elimu]] ya [[utabiri]] kuhusu mienendo ya [[jua]], [[mwezi]] na [[nyota]]. Nyota na mwezi mara nyingi zilichukuliwa kama [[alama]] za ki[[dini]], zikiaminika kuwakilisha [[miungu]] yao.
 
Ingawa maelezo ya matukio hayo mara nyingi hayakuwa ya kisayansi, tena yenye [[upungufu]] wa vithibitisho, hayo maono ya enzi hizo yalikuwa [[msingi]] wa uendelezaji wa elimu ya [[astronomia]] baadaebaadaye.
 
Kwa mujibu wa [[Asger Aaboe]], [[chanzo]] cha [[astronomia ya kimagharibi]] yawezakinaweza kupatikana [[Mesopotamia]], na [[juhudi]] zote za watu wa [[magharibi]] kuelekea [[sayansi ya uhalisia]] zimerithiwa kutoka astronomia ya kale ya Ki[[babiloniababuloni]].
[[Wanaastronomia]] wa [[Misri]] waliacha [[alama]] katika ma[[kaburi]] na [[kumbukumbu]] zingine juu ya ma[[kundi nyota]] na mienendo ya ma[[umbo]] mengine katika [[samawati]] (ma[[umbosamawati]]/ma[[gimba]]) mengine.
 
Wakati[[Homer]], [[mshairi]] bora wa [[Ugiriki wa kale]], aliandika katika [[HomerIliad]] aliandikana [[Odyssey]] juu ya maumbosamawati tofauti katika Iliad yake na Odyssey; baadaebaadaye wanaastronomia wa Kigiriki waliyapa ma[[jina]] makundi nyota mengi yanayoonekana katika [[kizio cha kaskazini]] cha dunia, majina ambayo yanatumika hadi leo.
 
===Falsafa ya asili===
[[Falsafa ya asili]] ina [[chanzo]] chake huko [[Ugiriki]] wakati wa kipindi cha kale, ([[650 KK]]– [[480 KK]]), ambapo [[wanafalsafa]] wa kabla ya [[Sokrates]] kama [[Thales]] waliyakataa maelezo yasiyo ya kiasili kwa matukio ya kiasilia na kutangaza kwamba kila tukio lilikuwa na [[sababu]] za kiasili.
 
Walipendekeza kwamba lazima ma[[wazo]] yathibitishwe na sababu makini na uoni na nyingi katika nadharia zao zilithibitishwa kwa mafanikio makubwa katika ma[[jaribio]] mbalimbali, kwa mfano, [[nadharia ya atomi]] ilijulikana kuwa sahihi takribani miaka 2000 baada ya kupendekezwa kwa mara ya kwanza na [[Leucippus]] na [[mwanafunzi]] wake [[Democritus]].
[[Falsafa ya asili]] ina chanzo chake huko [[Ugiriki]] wakati wa kipindi cha kale, ([[650 KK]]– [[480 KK]]), ambapo wanafalsafa wa kabla ya [[Sokrates]] kama [[Thales]] waliyakataa maelezo yasiyo ya kiasili kwa matukio ya kiasilia na kutangaza kwamba kila tukio lilikuwa na [[sababu]] za kiasili.
 
Walipendekeza kwamba lazima ma[[wazo]] yathibitishwe na sababu makini na uoni na nyingi katika nadharia zao zilithibitishwa kwa mafanikio makubwa katika ma[[jaribio]] mbalimbali, kwa mfano, [[nadharia ya atomi]] ilijulikana kuwa sahihi takribani miaka 2000 baada ya kupendekezwa mara ya kwanza na [[Leucippus]] na [[mwanafunzi]] wake [[Democritus]].
 
===Fizikia ya zamani===
Sir [[Isaac Newton]] ([[1643]]–[[1727]]) alianzishaaliandika sheria zake za [[mwendo]] na [[mvutano]] ambazo zilikuwa upigajihatua mkubwa wa hatuakubwa katika fizikia ya zamani.
 
Sir [[Isaac Newton]] ([[1643]]–[[1727]]) alianzisha sheria zake za [[mwendo]] na [[mvutano]] ambazo zilikuwa upigaji mkubwa wa hatua katika fizikia ya zamani.
 
Fizikia ilipata kuwa [[somo]] peke yake la sayansi wakati [[Wazungu]] walipoanza kutumia njia za majaribio na [[upimaji]] kugundua kile ambacho leo kinachukuliwa ni sheria za fizikia.
Mstari 63:
Sheria zinazotawala miendo ya sayari katika mfumo wa jua ziliamuliwa na [[Johannes Kepler]] kati ya miaka [[1609]] na [[1619]].
 
Kazi za mwanzo katika [[darubini]] na [[unajimu wa kiuchunguzi]] vilifanywa na [[Galileo Galilei]] katika karne ya 16 na 17, na ugunduzi wa Isaac Newton na muungano wa sheria zake za mwendo na sheria za jumla za mvutano ambazo zilikuja kubeba jina lake ulifanyika. Newton pia aliendeleza [[kalikulasi]], somo la mahesabu ya mabadiliko, ambalo lilileta njia mpya ya kukokotoa matukio ya kiumbo.
 
Newton pia aliendeleza [[kalikulasi]], somo la mahesabu ya mabadiliko, ambalo lilileta njia mpya ya kukokotoa matukio ya kiumbo.
Ugunduzi wa sheria mpya za joto [[thermodynamics]], kemia na [[sumakuumeme]] ulitokana na juhudi kubwa za uchunguzi katika kipindi cha [[mapinduzi ya viwanda]] kutokana na kuongezeka kwa kiasi kikubwa kwa mahitaji ya nishati.
 
Ugunduzi wa sheria mpya za joto [[thermodynamicsmwendojoto]], (thermodynamics), kemia na [[sumakuumeme]] ulitokana na juhudi kubwa za uchunguzi katika kipindi cha [[mapinduzi ya viwanda]] kutokana na kuongezeka kwa kiasi kikubwa kwa mahitaji ya nishati.
Sheria zenye [[maudhui]] ya fizikia ya zamani ziliendelea kuwa na matumizi makubwa katika matukio ya kila siku ambabo maada ilisafiri na miendokasi isiyokaribia ule wa [[mwanga]] kwa kuwa yalitoa ma[[jibu]] yenye makadirio ya karibu zaidi, na nadharia kama [[kwanta ya kimakenika]] na ile ya [[rilativiti]] zilirahisika kuelekea kutoa majibu kama yaliyotolewa na fizikia ya awali. Hata hivyo makosa katika fizikia ya zamani hasa kwa vitu vidogo zaidi na vile vyenye mwendo uliokaribia ule wa mwanga vilipelekea kuendelezwa kwa fizikia ya kisasa katika karne ya 20.
 
Sheria zenye [[maudhui]] ya fizikia ya zamani ziliendelea kuwa na matumizi makubwa katika matukio ya kila siku ambaboambapo maada ilisafiri na [[miendokasi]] isiyokaribia ule wa [[mwanga]] kwa kuwa yalitoa ma[[jibu]] yenye makadirio ya karibu zaidi, na nadharia kama [[kwanta ya kimakenika]] na ile ya [[rilativiti]] zilirahisika kuelekea kutoa majibu kama yaliyotolewa na fizikia ya awali. Hata hivyo makosa katika fizikia ya zamani hasa kwa vitu vidogo zaidi na vile vyenye mwendo uliokaribia ule wa mwanga vilipelekea kuendelezwa kwa fizikia ya kisasa katika karne ya 20.
===Fizikia ya kisasa===
 
Hata hivyo makosa katika fizikia ya zamani hasa kwa vitu vidogo zaidi na vile vyenye mwendo uliokaribia ule wa mwanga vilipelekea kuendelezwa kwa fizikia ya kisasa katika karne ya 20.
Kazi za [[Albert Einstein]] ([[1879]]–[[1955]]), katika [[athari]] za ki[[fotoelektriki]] na [[nadharia ya rilativiti]], ndiyo iliyopelekea mapinduzi ya fizikia katika karne ya 20.
 
===Fizikia ya kisasa===
[[Max Planck]] ([[1858]]–[[1947]]) alianzilisha nadharia ya kwanta ya kimakenika na [[vifurushi kimakenika]].
Kazi za [[Albert Einstein]] ([[1879]]–[[1955]]), katika [[athari]] za ki[[fotoelektriki]] na [[nadharia ya rilativiti]], ndiyo iliyopelekea [[mapinduzi ya fizikia]] katika karne ya 20.
 
[[Max Planck]] ([[1858]]–[[1947]]) alianzilisha [[nadharia ya kwanta ya kimakenika]] na [[vifurushi kimakenika]].
 
Nadharia hizo zote kwa pamoja zilikuja kwa sababu ya majibu yasiyo sahihi sana yaliyotolewa na [[mekaniki ya zamani]] katika baadhi ya matukio.
Line 79 ⟶ 82:
Mekaniki ya zamani ilitabiri ma[[badiliko]] ya [[mwendokasi]] wa mwanga, jambo ambalo lilishindwa kutatuliwa na mwendokasi usiobadilika uliotabiriwa na milinganyo ya sumakuumeme ya [[Maxwell]]; [[utata]] huo ulirekebishwa na nadharia ya Einstein ya rilativiti maalum, ambayo iichukua nafasi ya mekaniki ya zamani kwa vitu vinavyokwenda kwa [[spidi]] kubwa zaidi na ikaruhusu mwendo wa mwanga usiobadilika.
 
[[Mnururisho]] wa vitu vyeusi pia ulikuwa tatizo lingine kwa mekaniki ya zamani, ambalo lilitatuliwa wakati Planck alipopendekeza kwamba mwanga husafiri katika mfumo wa vifurushi vidogovidogo vinavyoitwa [[fotoni]]; pamoja na athari za [[fotoniumeme]] na nadharia nzima inayotabiri ngazi zilizojitenga za [[njiamzingo]] za [[elektroni]], ilipelekea kwenye [[nadharia ya vifurushikimakenika]] (kwa Kiingereza Quantum mechanics) kushika nafasi ya mekaniki ya zamani katika [[mizania]] ndogo sana.
 
Nadharia ya [[vifurushikimakenika]] (kwa Kiingereza Quantum mechanics) ilianzishwa kutokana na kazi za mwanzoawali za akina [[Werner Heisenberg]], [[Erwin Schrödinger]] na [[Paul Dirac]]. Kutokana na kazi hizo za mwanzo kila mmoja katika [[tasnia]] yake muundo wa kiwango kinachotambulika wa fizikia ya [[hardali]]/vitu vidogo ilipatikana.
 
Kufuatia ugunduzi wa tabia za hardali zinazokubaliana na Higgs boson katika kituo cha [[CERN]] mwaka [[2012]], hardali zote za msingi ziliweza kutabiriwa na [[muundo]] unaotambulikana, na hakuna hardali nyingine zilizoonekana kupatikana, hata hivyo fiIkiafizikia zaidi ya muundo unaotambulika, na nadharia kama za [[supersymmetry]], ni katika mambo yanayoendelea kufanyiwa utafiti hivi leo.
 
== Tazama Piapia ==
{{Lango|Sayansi}}
 
Line 91 ⟶ 94:
*https://en.m.wikipedia.org/wiki/Physics
*https://www.jaridalafizikia.blogspot.com
 
{{mbegu-sayansi}}