Brazil : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 109:
[[Picha:Centro SP2.jpg|thumb|left|São Paulo inazidi wakazi milioni 20]]
[[Picha:Rio_night.jpg|thumb|left|Rio de Janeiro]]
[[Picha:ViewCuritiba.BotanicalGarden.Day.jpg|thumb|left|[[Curitiba]], kusini mwa Brazil]]
 
[[Jiji]] kubwa ni [[São Paulo]] linalofikia (pamoja na mitaa ya jirani) kwenye idadi ya wakazi milioni 20.5.
 
Majiji ya kufuata ni [[Rio de Janeiro]] (wakazi milioni 11.4), [[Belo Horizonte]] (wakazi milioni 4.3), [[Curitiba]] (wakazi milioni 4), [[Recife]] (wakazi milioni 3.6), [[Brasilia]] (wakazi milioni 2.9), [[Salvador da Bahia]] (wakazi milioni 2.9), [[Fortaleza]] (wakazi milioni 2.6).
 
[[São Paulo]] ni jiji kubwa kabisa linalokua haraka sana. Ni moyo wa uchumi wa Brazil wenye viwanda vingi.