Sudan Kusini : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 80:
[[Uchumi]] unategemea [[kilimo]] vijijini na cha kujikimu, lakini mwanzoni mwa mwaka 2005, uchumi alianza mpito wa kutoka vijijini na mijini katika Sudan Kusini kumeonekana [[maendeleo]] kupindukia.
Mnamo Machi [[2016]] nchi imefaulu kujiunga na [[Jumuia ya Afrika Mashariki]] kama mwanachama wa sita.
== Historia ==
Line 126 ⟶ 128:
==Jiografia==
[[File:SouthSudanStates.svg|thumb|450px|Majimbo 10 ya Sudan Kusini yalivyotokana na [[wilaya]] 3 za Sudan {{legend|#9BCD9B|[[Bahr el Ghazal]]}} {{legend|#7AC5CD|[[Equatoria]]}} {{legend|#EEE685|[[Greater Upper Nile]]}}.]]
Kiutawala, Sudan Kusini inajumuisha [[majimbo]] kumi ambayo hapo awali yalikuwa kihistoria Mikoa mitatu ya Bahr el Ghazal, Equatoria, na Nile ya juu. Mwaka [[2015]] nchi imegawiwa upya katika majimbo 28 ambayo mipaka yake inafuata ile ya ma[[kabila]] yanayoishi humo.
Maeneo matatu ya Milima ya Nuba, Abyei na Nile ya Buluu kiutamaduni na kisiasa ni sehemu za Kusini lakini kwa mujibu wa [[CPA]] yatakuwa na utawala tofauti mpaka kura ya maoni ambayo ifanyike ambapo yatapata fursa ya kujiunga na Sudan Kusini au kubaki chini ya utawala wa Sudan.
{{Columns |width=160px
Line 150 ⟶ 152:
== Idadi ya Watu ==
Inakubaliwa na wengi kuwa kabila kubwa zaidi Sudan Kusini ni [[Dinka]] (15%), ikifuatiwa na [[Nuer]] (10%) kisha [[Bari]], [[Azande]], [[Shilluk]]. Makabila mengine
==== Sensa ya Tano ya Watu na Makazi ya Sudan (2008) ====
Line 171 ⟶ 173:
Sudan Kusini inajumuisha zaidi ya makabila 200 yakizungumza [[lugha]] 60 zinazopatikana hasa katika Sudan ya Kusini na lugha nyingine kutoka nchi jirani za Kenya, Ethiopia, Uganda, Kongo, Sudan (Khartoum) na nyingine (angalia [[Orodha ya lugha za Sudan Kusini]]).
[[Lugha rasmi]] ni [[Kiingereza]], pamoja na kutambulika kwa lugha mbalimbali za mitaa katika majimbo au miji. [[Kiswahili]] kinapangiwa kuenezwa nchini, hasa baada ya Sudan Kusini kujiunga na Jumuia ya Afrika Mashariki.
Lugha tatu kubwa za Kiafrika zinazotumika Sudan Kusini ni [[Thongjieng]] (wazungumzaji 3,000,000
[[Nuer]] inazunguzmwa katika Bentiu, Nasir, Akobo, Maywuut nk na Shilluk inazunguzmwa katika [[Upper Nile]] au katika Ufalme wa Shilluk; [[Kiarabu cha Juba]] kinazunguzmwa karibu katika kila sehemu ya Sudan Kusini lakini hasa katika majimbo ya [[Equatora Mashariki]], [[Equatoria Magharibi]] na [[Bahr el Jabel]].
Line 186 ⟶ 188:
Watu wa Sudan kusini hujihusisha zaidi na [[Ukristo]] na [[dini asilia za Kiafrika]] (32.9%).
Ukristo una wafuasi takriban asilimia 60.5 za wakazi wa Sudan Kusini, wengi wakiwa wa [[Kanisa Katoliki]] na [[Anglikana]], yakiwemo pia [[Wakalvini]] na [[madhehebu]] mengine mengi madogo zaidi<ref name="hope">{{citeweb|url=http://www.hopeforthefutureinternational.org/about-southern-sudan-christianity.php|title=Christianity in Southern Sudan|work=Hope for the Future International}}</ref>.
[[Uislamu]] unafuatwa na 6.2%.
Line 251 ⟶ 253:
[[Jamii:Nchi za Afrika]]
[[Jamii:Umoja wa Afrika]]
[[Jamii:Jumuiya ya Afrika Mashariki]]
[[Jamii:Siasa ya Sudan]]
[[Jamii:Historia ya Sudan Kusini]]
|