Rasi Hoorn : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[File:CapeHorn.jpg|thumb|right|250px|Rasi Hoorn
'''Rasi Hoorn''' (kwa [[
▲'''Rasi Hoorn''' ([[ing.]] ''Cape Horn''; [[his.]] ''Cabo de Hornos'') ni [[rasi]] katika [[Chile]] kwenye sehemu ya kusini kabisa ya [[Amerika Kusini]]. Ni mahali ambako maji ya [[Pasifiki]] na maji ya [[Atlantiki]] hukutanana. Jina latokana na mji wa [[Hoorn]] katika [[Uholanzi]] kwa sababu walikuwa mabaharia kutoka mji ule waliochora rasi hii kwenye ramani mara ya kwanza na kuiteulia jina.
Jina latokana na [[mji]] wa [[Hoorn]] katika [[Uholanzi]], kwa sababu walikuwa [[baharia|mabaharia]] kutoka [[mji]] ule waliochora rasi hii kwenye [[ramani]] mara ya kwanza na kuiteulia jina.
Rasi Hoorn ni ncha ya kusini ya [[funguvisiwa]] ya [[Tierra de Fuegos]] (ing. ''fireland'') ambayo ni kundi la visiwa linalozunguka sehemu ya kusini ya Amerika Kusini bara.▼
▲Rasi Hoorn ni ncha ya kusini ya [[funguvisiwa]]
Kabla ya kujengwa kwa [[Mfereji wa Panama]] njia ya rasi Hoorn ilikuwa njia muhimu kwa meli kati ya bahari mbili. Mizigo mingi iliyoelekea Kalifornia, Chile au Peru ilipita hapa au kwenye [[mlangobahari ya Magellan]] uliopo takriban kilomita 120 upande wa kaskazini. Rasi Hoorn ilitazamiwa kuwa hatari kutokana na baridi, dhoruba kali, ukungu wa mara kwa mara, mkondo wa bahari na kutokea kwa [[siwa barafu]] kutoka [[Antaktiki]]. Zaidi za meli na jahazi kubwa 800 ziliharibika hapa kwa kuzama au kugonga miamba na watu zaidi ya 10,000 walikufa katika ajali hizi ikaitwa "makaburi ya mabaharia".▼
Kabla ya kujengwa kwa [[Mfereji wa Panama]] njia ya rasi Hoorn ilikuwa njia muhimu kwa [[meli]] kati ya [[bahari]] mbili. Mizigo mingi iliyoelekea [[Kalifornia]], Chile au [[Peru]] ilipita huko au kwenye [[mlangobahari ya Magellan]] uliopo takriban [[kilomita]] 120 upande wa [[kaskazini]].
▲
Leo hii usafiri wa mizigo unapita katika mfereji wa Panama.
▲== Viungo vya Nje ==
{{commonscat|Cape Horn|{{PAGENAME}}}}
* [http://www.ub.uni-bielefeld.de/diglib/2005/lemaire/ Taarifa ya safari ya Jacob Le Maires mnamo 1621 pamoja na ramani na picha]
Line 23 ⟶ 25:
* [http://www.expeditionsail.com/libraries/articles/deepkeel.htm ''Sailing Way Down South''] – [[Ellen MacArthur]]'s rendezvous at Cabo de Hornos
*[http://www.bloosee.com/explore/#lt=-55.965825&ln=-67.259502&z=13&m=1&c=111111111111&o=0 Satellite image and infopoints] on [[Bloosee|BlooSee]]
{{DEFAULTSORT:Hoorn, Rasi}}
[[Category:Jiografia ya Chile]]
[[Category:Rasi]]
[[Jamii:Atlantiki]]
[[Jamii:Pasifiki]]
|