Mkondo wa Ghuba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
taipo
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Mkondo wa Guba.png|thumb|300px|Mkondo wa Ghuba]]
'''Mkondo wa Ghuba''' (kwa [[Kiingereza]] ''gulf stream'') ni [[mkondo wa bahari]] unaopita katika [[Atlantiki]] kuelekea [[kaskazini]].
 
'''Mkondo wa Ghuba''' ([[ing.]]ni ''gulfsehemu stream'')ya ni [[mkondoutaratibu wa mikondo ya bahari]] unaopita katikainayozunguka [[Atlantikidunia]] kuelekea kaskaziniyote.
 
== Njia ya mkondo wa Ghuba ==
UnanazaUnaanza katika [[ghuba ya Meksiko]], unapita katika [[mlango wa bahari wa Florida]] kufuata pwani la mashariki ya Marekani halafu unavuka Atlantiki kuelekea [[Ulayapwani]]. Kabla ya kufika visiwa vya [[Britaniamashariki]] unajigawa na mkono wa kusini unapita pwani za [[Hispania]] / [[Ureno]] hadi [[Afrika ya Magharibi]]. Mkono wa kaskazini unapita [[funguvisiwa ya Britania]] ([[UeireMarekani]], [[Britania]])halafu naunavuka [[BahariAtlantiki ya Kaskazini]] hadikuelekea [[Skandinavia]]. Mkono huu wa kaskazini huitwa "[[Mkondo wa Atlantiki ya KaskaziniUlaya]]".
Mkondo wa ghuba ni sehemu ya utaratibu wa mikondo ya bari inayozunguka dunia yote.
 
Kabla ya kufikia [[visiwa]] vya [[Britania]] unajigawa, na mkono wa kusini unapita pwani za [[Hispania]] / [[Ureno]] hadi [[Afrika ya Magharibi]]. Mkono wa kaskazini unapita [[funguvisiwa ya Britania]] ([[Ueire]], [[Britania]]) na [[Bahari ya Kaskazini]] hadi [[Skandinavia]]. Mkono huu wa kaskazini huitwa "[[Mkondo wa Atlantiki ya Kaskazini]]".
== Vipimo vyake ==
Mkondo ya Ghuba husukuma katika kila [[sekondi]] [[m³]] [[milioni]] 30 - 80 za [[maji]] za maji - ni mara [[mia]] jumla ya mikondo ya [[mito]] yote duniani.

Mkondo una [[upana]] wa 80–150 [[km]] 80–150 na [[kina]] cha 800–1200 [[m]] 800–1200. [[Mwendo]] wake ni hadi 2 [[m/s]].
 
== Athari kwa tabianchi ya Ulaya ==
Mkondo wa Ghuba husukuma maji ya vuguvugu kaskazini, hivyo ni kama [[jiko]] kwa ajili ya [[tabianchi]] ya [[Ulaya ya Kaskazini]]. Kwa njia hi [[tabianchi]] ya Ulaya ya kaskazini na [[Ulaya magharibi|magharibi]] si [[baridi]] jinsi ilivyo katika [[Amerika]] kwenye [[latitudo]] ileile. Kwa mfano latitudo ya [[Norwei]] inalingana na sehemu za kaskazini za [[Kanada]] lakini tabianchi ni ya kupoa: Norwei hakuna baridi kali hivi Norwei jinsi ilivyo Kanada ya kaskazini. Maji ya mkondo wa ghuba husababisha mabandari[[bandari]] yaza Ulaya ya KazkaziniKaskazini hadi [[Murmansk]] kuwa bila [[barafu]] hata wakati wa baridi.
 
Tabianchi ya Ulaya inaruhusu kustawi kwa [[mazao]] ya kutosha ya kulisha watu wengi - wakati huohuo maeneo ya Kanada katika latitudo ileile hazina watu kutokana na vipindi virefu vya baridi na muda mfupi wa kustawi wa [[uoto]]. Katika Kanada kwenye latitudo ya 60 hakuna [[miti]] tena kwa sababu ya kipindi kirefu cha baridi - katikakumbe Ulaya [[mji|miji]] mikubwa kama [[Sankt Petersburg]], [[Helsinki]], [[Stockholm]] na [[Oslo]] iko kwenye latitudo ileile.
 
== Hatari ya mabadiliko ya hali ya hewa duniani ==
Kuna [[dalili]] ya kwamba mkondo wa ghuba umeanza kubadilika kutokana na nyongezakuongezeka yakwa [[halijoto]] duniani. [[Wataalamu]] wengine wanahofia ya kwamba kuyeyukwakuyeyuka kwa barafu kwenye [[ncha ya kaskazini]] inawezakunaweza kuvuruga mwendo wa mkondo. Hii ingeweza kusababisha mabadiliko ya ghafla ya [[hali ya hewa]] hasa Ulaya, hasakwa kuongezeka kwa baridi na kupunguza mno kiasi cha [[chakula]] kinachokua katika bara hii.
 
[[Jamii:Mikondo ya Bahari]]
[[Jamii:Atlantiki]]
[[Jamii:Jiografia ya Ulaya]]