7 Aprili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{Aprili}}
== Matukio ==
* [[1498]] - [[Vasco da Gama]] anafikia [[mji]] wa [[Mombasa]] katika [[safari]] yake kutoka [[Ureno]] kwenda [[Uhindi]].
* [[1655]] - [[Uchaguzi]] wa [[Papa Alexander VII]]
 
== Waliozaliwa ==
* [[1652]] - [[Papa Klementi XII]]
* [[1770]] - [[William Wordsworth]], [[mwandishi]] kutoka [[Uingereza]]
* [[1786]] - [[William Rufus de Vane King]], [[Kaimu Rais]] wa [[Marekani]] ([[1853]])
* [[1915]] - [[Billie Holiday]], [[mwanamuziki]] [[Marekani|Mmarekani]]
* [[1927]] - [[Babatunde Olatunji]], mwanamuziki kutoka [[Nigeria]]
* [[1944]] - [[Gerhard Schröder]], [[Chansela]] wa [[Ujerumani]] ([[1998]]-[[2005]])
* [[1946]] - [[Stan Winston]], [[mwongozaji wa filamu]] kutoka [[Marekani]]
 
== Waliofariki ==
* [[1719]] - [[Mtakatifu]] [[Yohane Baptista de La Salle]], [[padri]] wa [[Kanisa Katoliki]] kutoka [[Ufaransa]]
* [[1891]] - [[P. T. Barnum]], [[mfanyabiashara]] kutoka [[Marekani]]
* [[1972]] - [[Abedi Amani Karume]], ([[Rais]] wa kwanza wa [[Zanzibar]]) alipigwa risasi
* [[2012]] - [[Steven Kanumba]], [[mwigizaji]] wa [[filamu]] kutoka [[Tanzania]]
 
[[Jamii:Aprili]]