20 Aprili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
 
== Waliozaliwa ==
* [[1586]] - [[Mtakatifu]] [[Rosa wa Lima]], [[mleibikira]] na [[bikiramlei]] kutoka [[Lima]], [[Peru]]
* [[1633]] - [[Go-Komyo]], [[mfalme mkuu]] wa [[Japani]] ([[1643]]-[[1654]])
* [[1889]] - [[Adolf Hitler]], [[dikteta]] wa [[Ujerumani]]
* [[1908]] - [[Lionel Hampton]], [[mwanamuziki]] kutoka [[Marekani]]
* [[1918]] - [[Kai Siegbahn]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1981]])
* [[1927]] - [[Karl Alexander Müller]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1987]]
* [[1962]] - [[Cosmas Masolwa Masolwa]], [[mbunge]] wa [[Tanzania]]
 
== Waliofariki ==
* [[1314]] - [[Papa Klementi V]]
* [[1912]] - [[Bram Stoker]], [[mwandishi]] kutoka [[Ireland]]
* [[2003]] - [[Bernard Katz]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1970]]