Mashariki ya Kati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:MapRegionMiddleEast+Turkey.png|thumb|Mashariki ya Kati pamoja na [[Uturuki]].]]
'''Mashariki ya Kati''' (kwa [[ing.Kiingereza]] ''Middle East'') ni namna ya kutaja sehemu kubwa ya [[Asia ya Magharibi]] pamoja na [[Afrika ya kaskazini-mashariki]], hasa [[Misri]].
 
Kwa kawaida nchi zifuatazo huhesabiwa humo:
Mstari 8:
* [[Uajemi]]
* [[Uturuki]]
* Misri (ambayo niiko upande wa [[Afrika]] isipokuwa [[rasi ya Sinai]])
 
Nchi hizihizo zinatajwa pamoja kwa sababu zina [[historia]] ya pamoja na [[utamaduni]] ni wa karibu kati yao.
 
== Matatizo ya jina hili ==
Jina "Mashariki ya Kati" limesambazwa kutokana na kawaida ya [[Kiingereza]] na kutafsiriwa katika [[lugha]] mbalimbali. Lina matatizo kadhaa yanayotakiwa kujulikana hata tukiendelea kulitumia:
* kuna namna mbalimbali za kutaja nchi za zaidaziada zinazohesabiwa humo au la (kwa mfano: wengine huhesabu pia nchi za [[Asia ya Kati]] kama vile [[Kazakhstan]], [[Kyrgyzstan]], [[Tajikistan]] n.k.)
* jina ni tamko la Kiulaya: nchi hizi ziko upande wa [[mashariki]] kwa mtu aliyeko [[Ulaya]]. Kutoka Uswahilini ingekuwa zaidi "Kaskazini ya Kati"
* matumizi ya jina yamebadilika: zamani Kiingereza pamoja na lugha nyingine za Ulaya kilitofautisha kati ya
Mstari 24:
** a) nchi za [[Bara Arabu]] na jirani;
** b) nchi za [[Uhindi]] na jirani
** c) nchi za [[Asia ya Mashariki]] kama [[China]], [[Japani]].
 
Lugha mbalimbali za Ulaya Bara kama [[Kijerumani]] zinaendelea kutumia majina hayahayo matatu vile. Pia wataalamu wa [[historia]] kwa Kiingereza hupendelea kutofautisha kati ya "Mashariki ya Karibu" na "Mashariki ya Kati".
 
==Historia ya Mashariki ya Kati==
===Kitovu cha utamaduni na ustaarabu===
Nchi zinazoitwa kwa Kiingereza "Mashariki ya Kati" ziko kwenye eneo la [[dunia]] ambako watu na tamaduni za [[Asia]], [[Afrika]] na [[Ulaya]] hukutana. Ni pia mahali ambako Bahari Hindi na Mediterenea zinakaribiana ambazo zote mbili zilikuwa njia za usafiri wa mbali tangu kale.
 
Ni pia mahali ambako [[Bahari Hindi]] na [[Mediteranea]] zinakaribiana ambazo zote mbili zilikuwa njia za [[usafiri]] wa mbali tangu kale.
Pamoja na mahali pa kubadilishana bidhaa na teknolojia eneo hili lilikutanisha pia mawazo, falsafa na dini. Hadi leo Mashariki ya Kati ni kitovu cha kiroho cha dini za kama Uyahudi, Uislamu, Ukristo na Uzoroasta.
 
Pamoja na mahali pa kubadilishana [[bidhaa]] na [[teknolojia]], eneo hili lilikutanisha pia mawazo, [[falsafa]] na [[dini]]. Hadi leo Mashariki ya Kati ni [[kitovu]] cha kiroho cha dini za kama[[Uzoroasta]], [[Uyahudi]], Uislamu, [[Ukristo]] na Uzoroasta[[Uislamu]].
Idadi kubwa ya [[staarabu]] za kwanza duniani zilianza hapa kama vile [[Mesopotamia]] ([[Sumeri]], [[Akkad]], [[Assyria]], [[Babeli]]) na [[Misri ya Kale]], zikifuatwa na staarabu za Uajemi, Ugiriki ya Kale, Israeli ya Kale, [[Finisia]] na nyingine.
 
Idadi kubwa ya [[staarabu]]aina za kwanza za [[ustaarabu]] duniani zilianza hapa kama vile [[Mesopotamia]] ([[Sumeri]], [[Akkad]], [[Assyria]], [[Babeli]]) na [[Misri ya Kale]], zikifuatwa na staarabuzile za [[Uajemi]], [[Ugiriki yawa Kale]], Israeli ya Kale, [[Finisia]] na nyingine.
 
===Muhtasari wa historia ya utawala===
Eneo lote liliunganishwa mara ya kwanza chini ya [[Milki ya Ashuru]], halafu na [[milki ya pili ya Babeli]] iliyofuatwa na [[milki ya Uajemi]] na utawala wa [[Aleksander Mkuu]].

Baadaye eneo liligawiwa hasa kati ya milki mbalimbali za Uajemi na [[Dola la Roma]] hadi uenezajiuenezi wa [[Waarabu]] Waislamu na kuundwa kwa milki ya [[khalifa]].

Tangu mwaka [[1512]] Mashariki ya Kati karibu yote ilikuwa chini ya utawala wa [[Milki ya Osmani]] hadi [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]].
 
===Ugawaji wa Milki ya Osmani===
Mashariki ya Kati ya kisasa yalianzailianza kutokea baada ya [[vita]] hiyo. [[Ufaransa]] na [[Ufalme wa Maungano]] walishindazilishinda Milki ya Osmani wakagawanazikagawana maeneo yaoyake ya nje ya Uturuki. Ugawaji huu ulithebitishwaulithibitishwa na [[Shirikisho la Mataifa]], nahivyo maeneo ya [[Syria]], [[Lebanoni]], [[Palestina]] (baadaye [[Israeli]] na [[Yordani]]) na [[Iraki]] yalikabishiwayalikabidhiwa kwa nchi hizo mbili za Ulaya kama [[maeneo ya kudhaminiwa]] kwa masharti ya kuyaandaa maeneo haya kuwa [[nchi huru]] baadaye.
 
Maeneo kadhaa kwenye [[rasi]] ya Uarabuni yalibaki huru baada ya kuondoka kwa [[jeshi]] la Osmani hadi mwaka [[1918]]:
* [[Chifu]] [[Ibn Saud]] wa Riadh[[Riyad]] alishinda katika vita baina ya makabila ya Uarabuni ya kati akaweza kuvamia na kutawala maeneo ya [[Najd]] na [[Hejaz]] na mwaka [[1932]] alitangaza [[Ufalme wa Uarabuni wa Saudia]]
* Katika [[Yemen]] [[Imamu Yahya Muhamad]] wa kundi la [[Zaidiya]] alivamia [[Wilaya|velayat]] ya Yemen ya Kiosmani na kutangaza [[Ufalme wa Yemen]]
 
[[Uhuru]] ulifika kwa ngazi mbalimbali na tofauti kwa kila nchi.
 
'''Maeneo ya kudhaminiwa kwa Uingereza''':
*Iraki ilikubaliwa kuwa mwanachama wa Shirikisho la Mataifa mwaka 1932 ingawa hali halisi ilikuwa [[nchi lindwa]] chini ya athiriathira ya Uingereza hadi mwaka [[1958]].
*Palestina ng'ambo ya [[mto Yordani]] (Transjordan) ilipata [[serikali]] ya kujitawala kama nchi lindwa chini ya Uingereza tangu mwaka [[1922]], halafu uhuru kamili mwaka 1946 kwa jina la Transjordani, halafu Yordani. tu
*Israeli ilikubaliwa na [[Umoja wa Mataifa]] kuwa nchi huru mwaka [[1948]].
*Azimio lilelile lililenga kuanzisha pia [[dola]] la Kiarabu la Palestina lakiilakini, kutokana na vita iliyoanza mara moja, hii haikutokea, maeneo yaliyotarajiwa kuwa Palestina yalivamiwa na Israeli, Yordani na [[Misri]]. Tangu mwaka [[1993]] kuna [[Mamlaka ya Kitaifa ya Palestina]] yenye viwango tofauti vya utawala juu ya sehemu za maeneo ya Palestina asilia zilizo chini ya usimamizi wa kijeshi wa Israel.
 
'''Maeneo ya kudhaminiwa kwa Ufaransa''':
*Lebanoni ilitangaza uhuru wake mwaka [[1943]] wakati Ufaransa ulikuwa chini ya Ujerumani wakati wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]].
* Syria ilikuwa huru mwaka [[1946]].
 
==Maeneo mengine baada ya Vita Kuu ya Kwanza==
Katika nchi kadhaa zilizokuwa nje ya Milki ya Osmani Uingereza ilikuwa na athira kubwa na hali halisi nchi hizihizo zilikuwa nchi lindwa kabla na baada ya Vita Kuu ya Kwanza
* [[Misri]] ilikuwa rasmi sehemu ya Milki ya Osmani lakini hali halisi ilisimamiwa na Uingereza hasa kwa shabaha ya kusimamia [[mfereji wa Suez]]. Mwaka [[1914]] ilitangazwa kuwa nchi lindwa chini ya Uingereza; tangazo la uhuru la mwaka [[1922]] bado iliachaliliacha athira kubwa kwa Uingereza. Tangu mwaka [[1952]] Misri imepata uhuru kamili, na tangu hapo ilitawala pia mfereji wa Suez.
*[[Omani]] ilikuwa eneo lililogawiwa kati ya [[Sultani wa Maskat]] na [[Imamu wa Ibadiya]] mnamo [[1890]]. Maskat ilikubali kuwa eneo lindwa chini ya Uingereza ikapata msaada wa jeshi la Uingereza dhidi ya Saudia na baadaye kuvamia na kutawala pia maeneo ya [[imamu]] mwaka [[1957]]. Mkataba wa mwaka [[1951]] ulitangaza uhuru wa Omani, lakini hali halisi athira ya Uingereza ulikuwa na nguvu hadi [[miaka ya 1990s1990]].
* [[Kuwait]] ilikuwa nchi lindwa chini ya Uingereza tangu mwaka [[1899]] na Waingereza walitetea hali yake ya pekee dhidi ya [[Waosmani]] na baadaye dhidi ya Saudia. Ilipata uhuru mwaka [[1961]].
* Maeneo ya [[Falme za Kiarabu]] pamoja na [[Qatar]] na [[Bahrain]] yalikuwa nyumbani kwa [[Kabila|makabila]] madogo na chifu zao. Tangu mwaka [[1820]] walikuwa na mikataba na Uingereza walipoahidi kuachana na [[uharamia]] na kupokea ulinzi wa Uingereza. UlinzoUlinzi huu ulizuia [[uvamizi]] wa Saudia katika [[karne ya 20]]. Tangu mwaka [[1971]] madola hayahayo madogo yalipata uhuru. Saba kati yaoyake yaliungana kuwa Falme za Kiarabu.
 
==Ugunduzi wa mafuta==
Katika karne ya 20 [[mafuta]] ya [[petroli]] yaligunduliwa kwanza katika Uajemi, badaye piabaadaye katika nchi nyingine pia. Mafuta yalibadilisha umuhimu wa Mashariki ya Kati. MaffutaMafuta ya petroli iliendeleayaliendelea kuwa [[chanzo]] muhimu zaidi cha [[nishati]] katika [[uchumi]] wa dunia ya kisasa. Uingereza, na baadaye hasa [[Marekani]], walijaribu kuhakikisha ya kwamba serikali za nchi zenye mafuta zikoziwe upande wao.
 
Baada ya 1945 mapato kutokana na mafuta yalianza kubadilisha maisha na jamii za nchi zote zinazouza mafuta kwenye soko la dunia. Hasa watawala wa nchi ndogo walikuwa matajiri kupita kiasi wakaweza kuendelea na mfumo wa utawala wa mfalme asiyebanwa na katiba kwa muda mrefu kwa sababu waliweza kuwagawia wananchi wao sehemu za utajiri wa mafuta.
 
Wakati wa [[vita baridi]] mashindano kati ya magharibi na Umoja wa Kisovyeti yaliedeshwa vikali katika Mashariki ya Kati. Serikali mbalimbali zilichezacheza kati ya pande mbili.
 
Baada ya mwaka [[1945]] mapato kutokana na mafuta yalianza kubadilisha [[maisha]] na [[jamii]] za nchi zote zinazouza mafuta kwenye [[soko la dunia]]. Hasa watawala wa nchi ndogo walikuwa [[matajiri]] kupita kiasi, wakaweza kuendelea na mfumo wa utawala wa [[mfalme asiyebanwa na katiba]] kwa muda mrefu kwa sababu waliweza kuwagawia wananchi wao sehemu za [[utajiri]] wa mafuta.
 
Wakati wa [[vita baridi]] mashindano kati ya magharibi na [[Umoja wa Kisovyeti]] yaliedeshwayaliendeshwa vikali katika Mashariki ya Kati. Serikali mbalimbali zilichezacheza kati ya pande hizo mbili.
 
==Viungo vya nje==