Saudia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 58:
Kuna [[pwani]] ya [[Ghuba la Uajemi]] upande wa [[kaskazini]]-[[mashariki]] na [[Bahari ya Shamu]] upande wa [[magharibi]].
 
==Historia==
Mara nyingi inaitwa "al-haramain" yaani nchi ya mahali patakatifu pawili kwa kumaanisha miji ya [[Makka]] na [[Madina]] ambayo ni miji mitakatifu zaidi katika [[Uislamu]].
Jina la nchi limetoka kwa [[familia]] ya watawala, yaani [[familia]] ya aliyeianzisha, [[Chifu]] [[Ibn Saud]] wa [[Riyad]]. Yeye, baada ya kuondoka kwa [[jeshi]] la [[Waturuki]] [[Waosmani]] waliotawala Arabia kwa karne kadha, alishinda [[vita]] baina ya [[Kabila|makabila]] ya Uarabuni ya kati akaweza kuvamia na kutawala maeneo ya [[Najd]] na [[Hejaz]] na mwaka [[1932]] alitangaza [[Ufalme wa Uarabuni wa Saudia]]
 
==Watu==
Ukweli huu unatumika kuzuia waumini wa [[dini]] nyingine zote, ambao ni [[wahamiaji]] (21% za wakazi wote), wasiweze kujenga [[maabadi]] wala kufanya [[ibada]] za pamoja, hata kama ni ndani ya nyumba zao.
Ukiacha wahamiaji, wenyeji ni [[Waarabu]] (90%) na [[chotara|machotara]] Waarabu-Waafrika (10%)
 
[[Lugha rasmi]] na ya kawaida ni [[Kiarabu]], lakini wahamiaji wanatumia pia [[lugha]] zao.
Jina la nchi limetoka kwa [[familia]] ya watawala, yaani familia ya [[Saud]] aliyeianzisha.
 
Mara nyingi Saudia inaitwa "al-haramain", yaani nchi ya mahali [[patakatifu]] pawili, kwa kumaanisha [[Mji|miji]] ya [[Makka]] na [[Madina]] ambayo ni miji mitakatifu zaidi katika [[Uislamu]].
Ukiacha wahamiaji, wenyeji ni Waarabu (90%) na [[chotara|machotara]] Waarabu-Waafrika (10%)
 
Ukweli huu unatumika kuzuia waumini wa [[dini]] nyingine zote, ambao ni [[wahamiaji]] (21% za wakazi wote), wasiweze kujenga [[maabadi]] wala kufanya [[ibada]] za pamoja, hata kama ni ndani ya nyumba zao.
[[Lugha rasmi]] na ya kawaida ni [[Kiarabu]], lakini wahamiaji wanatumia pia [[lugha]] zao.
 
[[Picha:Sa-map.png]]