Iraq : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 69:
==Historia==
Iraq ni nchi yenye [[historia]] ndefuː ilikuwa [[kitovu]] cha [[ustaarabu]] wa [[binadamu]], mahali pa [[miji]] ya kwanza [[duniani]] katika [[Sumeri]] na [[Babeli]].
 
Baada ya kusambaratika kwa [[milki]] ya [[Waturuki]] [[Waosmani]] walioitawala muda mrefu, Iraq ilikubaliwa kuwa mwanachama wa [[Shirikisho la Mataifa]] mwaka 1932 [[ingawa]] hali halisi ilikuwa [[nchi lindwa]] chini ya athira ya [[Uingereza]] hadi mwaka [[1958]].
 
Miaka ya hivi karibuni imejulikana hasa kutokana na [[vita]] mbalimbaliː kwanza [[Vita kati ya Irak na Uajemi|vita dhidi ya Uajemi]] chini ya [[serikali]] ya [[Saddam Hussein]] tangu [[1981]], baadaye [[Vita ya Ghuba ya 1990/91|vita dhidi ya Kuwait na Marekani]].