Falme za Kiarabu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 58:
 
== Historia ==
Maeneo ya [[Falme za Kiarabu]] pamoja na [[Qatar]] na [[Bahrain]] yalikuwa nyumbani kwa [[Kabila|makabila]] madogo na chifu zao.
Falme hizo zilikuwa [[nchi lindwa]] chini ya [[Uingereza]] hadi mwaka [[1971]].
 
Tangu mwaka [[1820]] walikuwa na mikataba na Uingereza walipoahidi kuachana na [[uharamia]] na kupokea ulinzi wa Uingereza. Ulinzi huu ulizuia [[uvamizi]] wa Saudia katika [[karne ya 20]].
 
Falme hizo zilikuwa [[nchi lindwa]] chini ya [[Uingereza]] hadi mwaka [[1971]], ambapo madola hayo madogo yalipata uhuru. Saba kati yake yaliungana kwa jina la Falme za Kiarabu.
 
== Wakazi ==