Mashariki ya Kati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 64:
* Syria ilikuwa huru mwaka [[1946]].
 
===Maeneo mengine baada ya Vita Kuu ya Kwanza===
Katika nchi kadhaa zilizokuwa nje ya Milki ya Osmani Uingereza ilikuwa na athira kubwa na hali halisi nchi hizo zilikuwa nchi lindwa kabla na baada ya Vita Kuu ya Kwanza
* [[Misri]] ilikuwa rasmi sehemu ya Milki ya Osmani lakini hali halisi ilisimamiwa na Uingereza hasa kwa shabaha ya kusimamia [[mfereji wa Suez]]. Mwaka [[1914]] ilitangazwa kuwa nchi lindwa chini ya Uingereza; tangazo la uhuru la mwaka [[1922]] bado liliacha athira kubwa kwa Uingereza. Tangu mwaka [[1952]] Misri imepata uhuru kamili, na tangu hapo ilitawala pia mfereji wa Suez.
Mstari 71:
* Maeneo ya [[Falme za Kiarabu]] pamoja na [[Qatar]] na [[Bahrain]] yalikuwa nyumbani kwa [[Kabila|makabila]] madogo na chifu zao. Tangu mwaka [[1820]] walikuwa na mikataba na Uingereza walipoahidi kuachana na [[uharamia]] na kupokea ulinzi wa Uingereza. Ulinzi huu ulizuia [[uvamizi]] wa Saudia katika [[karne ya 20]]. Tangu mwaka [[1971]] madola hayo madogo yalipata uhuru. Saba kati yake yaliungana kuwa Falme za Kiarabu.
 
===Ugunduzi wa mafuta===
Hadi Vita Kuu ya Kwanza mataifa yote katika eneo la Ghuba ya Uajemi yalikuwa dhaifu, bila uchumi imara na bila uwezo wa kijeshi. Hasa upande wa Arabuni watawala wadogo walisimamia miji michache kwenye pwani tu na sehemu kubwa ya watu waliishi katika utaratibu wa kikabila bila kujali serikali.
Katika karne ya 20 [[mafuta]] ya [[petroli]] yaligunduliwa kwanza katika Uajemi, baadaye katika nchi nyingine pia. Mafuta yalibadilisha umuhimu wa Mashariki ya Kati. Mafuta ya petroli yaliendelea kuwa [[chanzo]] muhimu zaidi cha [[nishati]] katika [[uchumi]] wa dunia ya kisasa. Uingereza, na baadaye hasa [[Marekani]], walijaribu kuhakikisha ya kwamba serikali za nchi zenye mafuta ziwe upande wao.
 
Kugunduliwa ya mafuta kulibadilisha hali hii katika miaka baada ya vita. [[Mafuta ya petroli]] yaligunduliwa 1908 katika Iran kusini na serikali ya Uingereza ilinunua mara moja hisia nyingi za kampuni ya Anglo-Persian Oil iliyokuwa na mkataba wa kuzalisha mafuta hapa. Vita kuu ya kwanza ya dunia ilionyesha mara ya kwanza umuhimu wa kijeshi ya mafuta.<ref>Uingereza ulitafuta chanzo cha mafuta kisichotawaliwa na mataifa makubwa mengine, maana ilitaka kubadilisha manowari zake kutoka makaa kwenda mafuta kwa sababu hii iliwapa nafasi ya kisafiri mbali zaidi. Mafuta ya Iran ilikuwa chanzo cha badiliko hili</ref>.
Baada ya mwaka [[1945]] mapato kutokana na mafuta yalianza kubadilisha [[maisha]] na [[jamii]] za nchi zote zinazouza mafuta kwenye [[soko la dunia]]. Hasa watawala wa nchi ndogo walikuwa [[matajiri]] kupita kiasi, wakaweza kuendelea na mfumo wa utawala wa [[mfalme asiyebanwa na katiba]] kwa muda mrefu kwa sababu waliweza kuwagawia wananchi wao sehemu za [[utajiri]] wa mafuta.
 
Mafuta yalibadilisha umuhimu wa Mashariki ya Kati. Mafuta ya petroli yaliendelea kuwa [[chanzo]] muhimu zaidi cha [[nishati]] katika [[uchumi]] wa dunia ya kisasa. Kwa hiyo mataifa na makumpuni makubwa yalianza kuangalia hali ya kisasa ya chi penye mafuta. Yalijaribu kuhakikisha ya kwamba watawala na serikali yawepo ambazo zingewapa nafasi nzuri na nafuu ya kupata mafuta kutoka ardhi yao. Vilevile walijaribu kuzuia nchi nyingine kuingia hapa.
 
Mashindano haya yaliweka msingi kwa siasa ya nchi hizi za Kiarabu ambazo zote zilikuwa na watu wachache lakini mafuta mengi kuwa chini ya athira za nje ilhali mataifa makubwa yalihakikisha kuwepo kwao na mapato makubwa kwa watawala hivyo pia kuwalinda dhidi ya mabadiliko ya kisiasa na kimapinduzi yaliyoonekana katika nchi nyingine za Mashariki ya kati pasipo na utajiri wa mafuta.
 
Nchi ya kwanza iliyopata nafasi hapa ilikuwa Uingereza ikifuatwa na Marekani. Mwaka 1932 kampuni ya Standard Oil ya Kalifornia ikakuta mafuta huko Bahrain ikaendelea kujipatia laiseni ya kutafuta pia Saudia wakafaulu 1938.
 
Utajiri haukuanza kote mara moja; Uajemi (Iran) ilikuwa nchi kubwa ikapata asilimia ndogo ya mapato ya mafuta kufuatana na mikataba ya zamani; upande wa Uarabuni ilichukua muda hadi chemchemi kubwa za mafuta zilipatikana na kuzalisha kwa wingi. Bahrain ilitangulia, Kuweit ilifuata tangu 1950 hivi, lakini Omani na Falme Arabu zilianza kuzalisha kwa wingi katika miaka ya 1970 pekee.
from offshore oil deposits in the late 1960s.
 
Mwanzoni uchumi wa mafuta ulikuwa kabisa mkononi mwa makampuni ya nje kwa sababu wenyeji hawakuwa na elimu ya teknolojia na watawala walikosa mapato mengine hivyo walikubali masharti yote. Tangu miaka ya 1960 polepole asilimia ya mapato iliyobaki mikononi mwa serikali iliongezeka pia zilianza kununua hisa za makampuni yaliyozalisha mafuta katika ardhi yao. Hadi miaka ya 1990 serikali za nchi za ghuba zilikuwa na hisia nyingi katika makampuni haya yaliyokuwa sasa mali ya kitaifa au ya familia tajiri za wenyeji.
 
Baada ya mwaka [[1945]] mapatoMapato kutokana na mafuta yalianza kubadilisha [[maisha]] na [[jamii]] za nchi zote zinazouza mafuta kwenye [[soko la dunia]]. Hasa watawala wa nchi ndogo walikuwa [[matajiri]] kupita kiasi, wakaweza kuendelea na mfumo wa utawala wa [[mfalme asiyebanwa na katiba]] kwa muda mrefu kwa sababu waliweza kuwagawia wananchi wao sehemu za [[utajiri]] wa mafuta.
 
Wakati wa [[vita baridi]] mashindano kati ya magharibi na [[Umoja wa Kisovyeti]] yaliendeshwa vikali katika Mashariki ya Kati. Serikali mbalimbali zilichezacheza kati ya pande hizo mbili.