Rasi ya Tumaini Jema : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q4092 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Rasi Afrika Kusini.PNG|thumb|350px|right|Rasi za Tumaini Jema na Agulhas nchini Afrika Kusini]]
'''Rasi ya Tumaini Jema''' ([[ing.]] ''Cape of Good Hope'') ni mkono wa nchi unaoingia katika [[Atlantiki]] kwenye kusini ya bara la Afrika karibu na mji wa [[Cape Town]] ([[Afrika Kusini]]). Si mahali pa kusini kabisa ya Afrika ambapo ni [[Rasi Agulhas]].
 
Jina limetokana na wapelelezi [[Wareno]] waliofika hapa mnamo mwaka [[1488]]. Baada ya kutafuta kwa muda mrefu njia ya kufika [[Uhindi]]ni waliona hapa tumaini kwa sababu pwani lilikwisha kuelekea kusini. Mreno wa kwanza aliyeiona alikuwa [[Bartolomeu Dias]].